Baadhi ya Waandishi Maarufu wa Quran baada ya Kifo cha Muhamad

TAKIBIIIR
 
Hata hivyo Mwamedi alikufa akiwa na ngeu mbili juu ya jicho lake
 
Huku zanzibar ukimdisi kama hivyo wafia dini wanakukura kichwa sema astaghafiru kwa usalama wako na maisha yako kesho akhera
 
Wazee mbona Biblia tena? Hamuwezi kumalizia kesi zenu bila kuingiza Biblia?
Huwezi kuijadili Quran na Mtanzania bila kuigusa Biblia. Msingi wake wa hoja unabase huko........unadhani ye kaamka tu akaja na hiyo mada?
 
Wazee mbona Biblia tena? Hamuwezi kumalizia kesi zenu bila kuingiza Biblia?
Huwezi kuijadili Quran na Mtanzania bila kuigusa Biblia. Msingi wake wa hoja unabase huko........unadhani ye kaamka tu akaja na hiyo mada
 
Have your head up your arse is the correct phrase.
Get to learn the language first. Unarudia rudia ndio umejua leo?

Jifunze kuwa na religious tolerance. Kuna mambo mengi ya kujadili ya kuleta maendeleo katika nchi, religion is none of them. Unafaidika nini na mada za hivi?
Unajidanganya tu. You can't change anaything.
 
Alikuwa maamuma .😂😂😂😂🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…