Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

Ndivyo walivyo mkuu, hapo mwisho wa siku anazalishwa na wahuni anakua singo maza.
Kama hana akili pia hatojifunza maisha yake yatakua hivyo mpaka watoto wake watakua( wengi hawamalizi shule maana mama mwenyewe hajali)
Hapo sasa anaanza kutegemea watoto kwa kila kitu...

Mtoto nae akiwa mbwiga basi ukoo huo hiyo ndo inakua cycle yao, uswahili ndo kuna maisha ya hivo.
 
Acha ushamba kuna braza hapa Goba hata kuandika vizuri ujumbe mfupi (sms) kwenye simu hawezi ila kamjengea mwanamke nyumba mpaka fenicha kanunua bila hata kuwaza
Mmhh….Ketepa au Tatepa?
 
Huyu kazidi,huwa haudhurii vikao vyetu,
Hela hatuombagi hivyo alafu ni mapema MNOOO,unaombaje hela ya kula au bando ??au shida za nyumbani...hizi huwa inabaki ni Siri yako

Kuna namna ya kumtoa mwanaume pesa 😁
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kama njia ipi mwanamuke wa Mithali?
 
Huyu nilikuwa na nia ya kumsaidia kabisa ila kwa upuuzi huo wa kujaribu kunipiga vibomu nani anaweza wanaweza mambwiga tu.🀣🀣
 
Cjasoma bandiko lako maana ni mrefu sana ila nina swali toka kwako ndugu mwandishi ikiwa pesa tu ya kula unaona shida kumpatia ni kitugani kingine unaweza msaidia?? Tuanzie hapo kwanz
 
Ukichunguza sana utabaini wanawake wengi wa sasa hivi hawastahili kabisa any kind of generosity kutoka kwa mwanaume.

Wengi ni wa kuwaacha wajifie na matatizo yao.
 
Wewe ni mpiga kelele wanaosaidia na kuhongola hawaongeaji isee...!
 
Hahahahhahah 🀣
 
Dada yangu upo serious na hii comment yako 😯 Lamomy
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio, sasa ww huoni hapo km kuna tatizo? Huyo anajimwambafai anataka kumpa maisha binti, binti naye kaanza kuleta changamoto zake. Lkn matokeo yake jamaa kala kona. Halafu amtoe mwenzie kwenye duka akamfungulie banda la chipsi kweli?? Hapo ni yeye alitaka apate kupiga free P huku anajichukulia posho za kwenye chipsi. Huyo binti alikuwa anaenda kupoteza.
 
Swali kwa nini uzidiwe akili na muhuni tu? Unadhani wanawake wana shida na degree yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…