Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

na ndicho kinachowaponza miaka hii kila mtu anawakwepa maana tayari wanatia kinyaa kwa tabia zao za kuonyesha tamaa za wazi wazi plus hawajapevuka kiakili hata kidogo.
Mi mwenyewe kuna demu nimempiga chini hivi hivi, hela anakula Halafu mzigo hatoi, nina nafuu now kwasababu kitendo cha Mimi kuwa nae ni kama namsaidia tu, hana viwango vyangu.
 
Mwamba umetoa knowledge kubwa sana
 
Mzee umeongea point hadi natamani nikupe hela
 
Huyu mwamba acha tu MUNGU amlaze pema peponi. He was the Godfather of our generation na alikuwa anatengeza jeshi kubwa sana la Masculinist young Men. Ameacha legacy kali sana na amewa inspire vijana wengi wa kiume huko mitandaoni kuongea ukweli bila kuhisi wana waoffend wanawake au hawa wanaume legelege.

Mwamba alikuwa hana shobo kijinga na mademu sijui umletee lips nzuri anakupa za uso. Dah acha tu [emoji25] red bulls ndizo zilimponza alikuwa anatumia sana Redbulls na huwa si nzuri kiafya.

He will be missed.
 
Ntarudi kukujibu, kwa sasa sina muda
 
Wewe unahitaji spana no 5 ntarudi kukujibu kwa sasa sina muda.
 
mwanamke lake jiko,hayo ya biashara utakuja kugombana na watu bure
 
Ungemfungulia hiyo biashara chap halafu ukaanza kumpiga yeye vizinga hivo
 
Umeamua sawa kabisa. Huyo ameendekeza njaa na hana nia njema. Anajijali peke yake. Huyo hana tofauti na demu mmoja, nilimwambia nimtoe lunch tu akanambia nimnunulie kwanza gauni jipya la kutoka nalo siku hiyo. Hovyo kabisa! Nilimblock kutokea hapo.
Wanaume mnapitia mengi sana. hahahaha
 
Kitabia Wanawake wameumbwa kupata shida katika mapenzi(Mikiki mikiki), Ukijifanya popote pale unataka kumsaidia ata ekti kama anakuelewa, lakini huo msaada uliompa anautumia alafu anakupuuza wewe ulietoa au anaenda kumpa muhuni asie msaidia. Hakikisha mkeo/ mpenzi wako analia lia na kukulaumu kwamba humsaidii, ataishi na wewe, maana wanawake wanapenda taflani(Struggles), sio amani(comfortability).
 
Mbona hauji na nimekungoja hadi sana. [emoji23][emoji23]
Ukishashiba magimbi yako unalog in kutafuta wa kukupunguzia shibe zako.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Mimi ntakujibu muda wangu wa ziada, nimeona mikwoti yako kibaoooo. Tulia yote ntakupiga spana. Ss hivi napitia nyuzi zenye madini kisha ntakurudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…