KERO Baadhi ya Wafanyabiashara Soko la Soweto na Uyole (Mbeya) wanauza Samaki walioharibika kwa makusudi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Anaweza kusababisha magonjwa ya tumbo
 
Hebu weka picha tuwaone hao "Samaki wa Bichi" walivyo kama wanafanana na samaki wa baharini au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…