Shida nchi hii wakiitwa watu wenye weledi kuendesha shirika utasikia nchi imeuzwa wakati ni ukweli usiopingika kila cha serikali watu wanajipigia tu hawana uchungu sababu mwisho wa mwezi wanalipwa tu. Shirika likiendeshwa na private operator ufanisi utakuwa juu kwa sababu anataka pesa zaidi ili alipe gharama za serikali na yeye apate faida kwa hili usimamizi na huduma zitakuwa bora. Ni lazima tufanye mchakato wa kupata operator wa SGR.Socialisim isha prove failure Dunia nzima ni Tanzania tuna force ujamaa, Hilo shirika kuanzia Mkurugenzi hadi mfagiaji hakuna alie commited hapo wanacho angalia ni wananufaika vipi wao.
Serikali inakomaa sana na ujamaa sijui kwa nini na usha pitwa na wakati.