Hao hao Wahindi ndiyo wanaendesha Google, Microsoft, World Bank n.k. inategemea na wahindi. Lakinj kwenye management ni the best. Kama hakuna Wahindi wawape hata Wachina. Ila wamatumbi lazima waliue hilo shirikaWahindi walishapewa Hilo shirika la reli wakashidwa kuliendesha
Kwao India kwenyewe shirika lao la Reli.choka mbaya
Kwenye IT wako vizuri kwenye Reli hamna kituHao hao Wahindi ndiyo wanaendesha Google, Microsoft, World Bank n.k. inategemea na wahindi. Lakinj kwenye management ni the best. Kama hakuna Wahindi wawape hata Wachina. Ila wamatumbi lazima waliue hilo shirika
Dadek! Washafanya yao.Ni kweli huduma inapatikana katika simu, computer online n.k,
Ila kila mara treni imejaa, na ukibahatisha inaonekana seat moja au mbili ndio zimebakia, ajabu ukipanda treni unalala seat wima kabisa hakuna watu. Ukiingia online kila behewa no Seat ila ukiwa ndani ya behewa zinatembea tupu. Kuna namna mahali iangaliwe na tupewe ufafanuzi
Wala pilipili waliwahi pewa reli ya kati, hali ndio ikawa mbaya zaidi.Waajiri Wahindi ndiyo wasimamie kila kitu. Hao Waswahili ni watu wa hovyo kabisa hawawezi kuwa na maadili na mwisho wataiua kabisa hiyo huduma
Hii inafanyika Duniani kote, sijui Kwa Nini walichelewa.Ndugu abiria,
Shirika la Reli Tanzania linapenda kukutaarifu ya kwamba kuanzia tarehe 10/08/2024 unapokata tiketi,hakikisha unakitambulisho kimoja wapo kati ya NIDA, kiambulisho cha Kura, bima ya Afya, leseni ya Udereva, hati ya Kusafiria,au kitambulisho cha kazi. Kama hauna basi uje na barua ya Serikali za mtaa yenye picha yako iliyogongwa muhuri. Kwa mtoto anayekatiwa nusu tiketi kuanzia miaka 4 hadi 12 tafadhali fika na nakala moja wapo kati ya cheti cha Kuzaliwa, bima ya Afya, hati ya Kusafiria au kitambulisho cha Shule.Na siku ya kusafiri hakikisha unakuja na kitambulisho chenye jina sahihi ambalo lipo katika tiketi yako.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu ya Huduma kwa Wateja namba 0800110042
Labda hii ya kukagua jina Vs Vitambulisho itasaidia kudeal na changamoto hiyo .
Kama ni hivyo inabidi uzuiwe kuondoka hadi umtaje aliyekuuzia tiketi ili huo mchezo ubainike na wahusika uwataje wachukuliwe hatua.Umeelewa alichoandika lakini?
Hata ukifika pale na cheti Cha ubatizo utaambiwa tren imekaa hivyo jiongeze Kuna abiria kaghaili kusafiri ndo unapigwa Cha juu
Hivyo vitambulisho havitasaidia lolote
Nakubaliana nawewe lkn je nani atamfunga paka kengele Ili Hali waliambiwa hadharani wale kulingana na urefu wa kamba zao?Kama ni hivyo inabidi uzuiwe kuondoka hadi umtaje aliyekuuzia tiketi ili huo mchezo ubainike na wahusika uwataje wachukuliwe hatua.
Tukiendelea kununua hizo tiketi za magendo ndivyo tutakavyoendelea kuimarisha huo mtindo mchafu.
Nashauri mtego uwekwe ili hao watumishi wakamatwe na kupewa kesi ya Uhujumu uchumi.
bongo kila kitu dili.Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi.
Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu kuu ikiwa ni muda ni kutokana na kutumia muda mfupi kufika maeneo husika.
Lakini nimefika pale mara kadhaa hasa Wikiendi kuna jambo nimeligundua, kuna mchezo mchafu unafanywa na baadhi ya Watendaji hasa wanaokata tiketi.
Wahusika hao wanatumia Watu wao wa karibu kununua tiketi wanapohisi kuna abiria wengi zaidi hasa Wikiendi, baada ya kufanya, hivyo Wanunuzi wa hizo tiketi wanajifanya kughairi safari, kinachoenda kufanyika zile tiketi zinauzwa kwa bei ya juu zaidi, mfano tiketi ya Dar-Moro ya 13,000 inauzwa mpaka 30,000.
Baadhi ya wahudumu wa ndani wakishakata tiketi kupitia jamaa zao zile tiketi wanawapatia wahudumu wa nje ya madirisha ambao jukumu lao ni kutoa maelekezo na usaidizi kwa abiria namna ya kupata tiketi.
Wakishapewa hizo tiketi wanafuata abiria mmojammoja aliyekosa wanakwambia ujiongeze wakupe tiketi, wanakuandaa kuna Mtu kaghairi kusafiri, ukishindwa kufikia kiwango wanachokitaka wanakutosa wanaenda kwa mwingine.
Wale wahudumu ambao wanafanikisha mchezo huo wakiona uwezekano wa kushutukiwa wanakwambia kaa subiri mpaka Treni ikikaribia kuondoka, ikija wanakupa tiketi unawapa chao na kupanda.
Huu mchezo mchafu uenda baadhi hawajaubaini maana unafanyika kwa siri na Watu wanapiga hela hasa kipindi cha wikendi, ni mamlaka nifuatilie suala hilo haraka ili kuondoa mazingira ya upigaji.
Bila mamlaka kuchukua hatua mapema mradi huu utakuja kuwatajirisha baadhi ya Watu kupitia njia na taratibu ambazo hazina uhalali.
Kama kuna mabehewa ambayo tayari yameshawasili nchini ni muhimu ukafanyika mchakato wa haraka yakaongezwa hasa siku za weekend kwa lengo la kuondoa mazingira ya upigaji.
Lakini pia ikiwezekana mchakato wa kupata wawekezaji uharakishwe ili waweze kuingiza mabehewa zaidi kwa kuwa kwa mwenendo huu uenda kuna Watu wachache wananufaika na hali hii.
Pia soma:
~ Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi
~ Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Au kama majina ya kwenye ticket yanatofautiana na majina ya kwenye kitambulisho chako hakuna kusafiri, na inatakiwa ihesabike kama vile umeiba ticket ya mtu mwingine!!Kama ni hivyo inabidi uzuiwe kuondoka hadi umtaje aliyekuuzia tiketi ili huo mchezo ubainike na wahusika uwataje wachukuliwe hatua.
Tukiendelea kununua hizo tiketi za magendo ndivyo tutakavyoendelea kuimarisha huo mtindo mchafu.
Nashauri mtego uwekwe ili hao watumishi wakamatwe na kupewa kesi ya Uhujumu uchumi.
Nakubaliana na hili maana kujisajili kwenye mfimo wa e ticket huwa tunaweka namba ya NIDA ambapo lazima majima yako yaonekane, so kitambulisho inabidi kiwe lazima.Au kama majina ya kwenye ticket yanatofautiana na majina ya kwenye kitambulisho chako hakuna kusafiri, na inatakiwa ihesabike kama vile umeiba ticket ya mtu mwingine!!
Mtoto anasafiri Kwa dhamana ya mzazi ambae tayari ana kitambukisho, sasa mtoto mdogo wa miaka 4 mpaka 6 hata bila cheti anajulikana tu ni mtoto hivyo nusu tiketi inamhusu, angalau wale wa miaka 10 au 12 hapo forgery ya umri inaweza ikawepo maana hata wa miaka 14 anaweza kujifanya ana miaka 12Ndugu abiria,
Shirika la Reli Tanzania linapenda kukutaarifu ya kwamba kuanzia tarehe 10/08/2024 unapokata tiketi,hakikisha unakitambulisho kimoja wapo kati ya NIDA, kiambulisho cha Kura, bima ya Afya, leseni ya Udereva, hati ya Kusafiria,au kitambulisho cha kazi. Kama hauna basi uje na barua ya Serikali za mtaa yenye picha yako iliyogongwa muhuri. Kwa mtoto anayekatiwa nusu tiketi kuanzia miaka 4 hadi 12 tafadhali fika na nakala moja wapo kati ya cheti cha Kuzaliwa, bima ya Afya, hati ya Kusafiria au kitambulisho cha Shule.Na siku ya kusafiri hakikisha unakuja na kitambulisho chenye jina sahihi ambalo lipo katika tiketi yako.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu ya Huduma kwa Wateja namba 0800110042
Labda hii ya kukagua jina Vs Vitambulisho itasaidia kudeal na changamoto hiyo .