Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiukweli bila kuegemea upande wowote sbb mimi sio Chadema, Mr. Mbowe ukimlinganisha na Tundu Lissu, bado Mbowe ana upper hand kiuongozi, tatizo kubwa la Lissu ni kutojua kipi cha kusema kwa muda gani, yaani ni mropokaji, kuwa kiongozi lazima uwe na kifua cha kuhifadhi mambo makubwa mengi, Lissu hana kabisa karama ya kuwa kiongozi, Lissu ni purely mwanaharakati..!!

Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi na mwanaharakati..!!

Mr. Mbowe bora aendelee na uenyekiti Chadema..!!
 
🤣🤣🤣🤣Et molemo mediaaaaa ...wivu tu Kwa Lissu
 
Waswahili, rushwa, hongo na wizi haitaisha na ukijifanya mkataa rushwa hutoboi
Watu wanataka kula tu mengine baki nayo moyoni 😄
Eti utangaze vita ya rushwa
 
Umejifungia na Yerrico ndiyo mmetoka na huu uzi wenu wa 'Kijasusi'😃
 
Machawa wa Mbowe na CCM yanahangaika kweli kwa vitafiti fake.

Hakuna utafiti unaofanyika kwa namna hiyo. Bila shaka hiyo taasisi ya utafiti itakuwa inaongozwa na walevi

Tafiti haina hata rejea!! Yaani unaenda kwa watu, unapiga nao story, wanabwabwaja chochote, halafu na wewe kwa ujinga wako wa kutojua tafiti huwa zinafanyika namna gani, unaenda kwa watu na story za waliokuwa wanabwabwaja, unasema eti ni matokeo ya utafiti!! This is too low for any sensible person.
 
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB


Hayo mambo yote 11 uliyosema ndio yameifikisha chadema hapo ilipo

So uamuzi ni wao wenyewe kama wanataka Chama chao kiwe cha Aina hiyo au kiwe na mabadiliko
 
Tafito ni fani, na inafanywa na watu neutral na wenye akili timamu. Yaani huu ujinga ulioletwa hapa, unaweza kuuita ni utafiti. Nchi ina wajinga wengi halafu wanaamini kuwa kila mmoja ni mjinga kama wao.
 
Molemo ndio uchafu gani huo, wkt wanampa agombee urais hawakuliona hilo safari hii mboe hachomoki
 
Nakuhakikishia hata kama sitakuwepo duniani chini ya Freeman wala msihangaike kupiga kampeni CCM watawapasua asilimia 100.....
Hilo li saccos limefika mwisho....labda Samia mshirika wenu kwa aibu awape majimbo bure...
 
Molemo , Sinza Pazuri na Retired wanapilikapilika kweli na huu UCHAGUZI...badala ya kuja na nini kipya Mwenyekiti Mbowe atakifanyia CHAMA ( hata kwa ufupi tu) baada ya kuwa ndani ya chama kwa zaidi ya miaka 35 ..wao ni Lissu Lissu Lissu asubuhi, mchana, jioni na usiku...UJINGA!
 
Hata wewe imegundua hilo🤣🤣🤣
 
Kwani humu jf ,Kuna wajumbe wangapi wa mkutano mkuu?
 
Maccm wote mnataka Mbowe aendelee kwa vile ni kitendea kazi chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…