Baadhi ya wake za watu nimewanyooshea mikono, nasalimu amri

😆😆😆
Hali hii naifananisha na makala niliyowahi kuipitia ya Dr. John Bowlby, kwa uchache inagusia sababu ya baadhi ya wanandoa kujikuta wakitamani kurudiana na wapenzi wao wa zaman licha ya kuwa katika mahusiano.
Alieleza nadharia iitwayo Attachment Theory (Kuambatana)
Wanawake ambao wana aina ya uhusiano usio salama (insecure attachment) wanaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kutafuta faraja na uthibitisho kutoka kwa wapenzi wa zamani ili kujihisi salama zaidi.
Mfano: Tendo / Upendo / Heshima / kupunguza Msongo wa mawazo.
 
Duuuh
 
Demu kama mliachana vizuri kuachana sio rahisi hata aolewe.
Hata Kama ni kwa ugomvi
Wanawake wana vingi hupenda kujaribu kwenye Mapenzi.
Kutembea na Ex wake
Kutembea na kiongozi wake wa ibada..
Kutembea na watu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja😀
Kutembea na bosi wake au mfanyakazi mwenzake Kama ni mfantakazi
Kutembea na jirani yenu.
Yaani wao hupenda kujaribu jaribu vitu vya hatari Mapenzini🤔😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…