Baadhi ya wake za watu nimewanyooshea mikono, nasalimu amri

Baadhi ya wake za watu nimewanyooshea mikono, nasalimu amri

Ndo siku utakayoenda village sijui kama hatutopotezana 😁😁😁😁😁
unantafta nn lakin πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hujui nishawah andika uzi hum wa kutafta mchumba,,nitakosa kwajil ako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎkila kona umenizingira
 
unantafta nn lakin πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hujui nishawah andika uzi hum wa kutafta mchumba,,nitakosa kwajil ako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎkila kona umenizingira
Ukose!!!!!?? Walaahi tafurahi mimi. 😁😁😁😁😁😁
Hiyo ndo furaha yangu aiseee
 
Mkuu ni kweli kuepuka wanΓ wake ma X ni kujiheshimu tu, ila hamna mwanamke wa kukataa sasa wakikutana na bogus men wengi hufikiri kumlala huyu ex ni sifa, ndo stori kama hizi za mleta mada, ukinipa simu dakika 30 ni nyingi kua nimesha fix ratiba na ex wangu yoyote haijalishi kaolewa au la, lakini kwa nini ni manipulate kiumbe mwenzangu nae jua kabisa ana madhaifu, wakati na mimi nina mke, "gettlemen are few but men are many"....
Sure mkuu, kipindi cha adolescent stage ilikua ni sifa sana kijana kulala na mabinti wengi, vijana wanajisifu kuchakata mara nyingi. Ila ukikua unakuja kujua ilikua utoto na kukosa maarifa tu.

Hao wake za watu ni rahisi kulala nao ila wanasababisha matatizo tu kwa starehe ya muda mfupi
 
Dunia iko kasi sana aisee,

wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.

Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema naringa.

Nikampigia tukasalimiana basi kila mtu akala kona yake.

Huyu dada aliolewa na mie sina mazoea na wake za watu, saa katika mazungumzo nikamuita MKE WA MTU, akawaka nanukuu, "UNANIITA MKE WA MTU UNATAKA KUNINYIMA NINI"? Nikahisi labda waliachana na mumewe na sasa yupo mwenyewe.

Sikutaka kuulizia direct ila nikatumia mbinu ya kumuomba tuonane (Yuko Arusha na mie nipo mkoa mwingine) ili kama yupo free ntajua. Akajibu hatoweza kutoka mumewe yupo labda tukutane mkoa X anaenda kwenye sherehe bila mumewe na inajulikana haitaleta shida.

Nikampima tena, nikamwambia Nilikuwa na Safari ya Arusha ndio maana nilitaka tuonane, sasa kukutania mkoani kisa kuonana tu sio issue tutabonga hata video call. Alichonijibu, WE MWANAUME UNARINGA SANA NINGETAKA KUKUONA NINGEOMBA PICHA AU NINGEANGALIA FACEBOOK PICHA ZAKO.

Kweli HANDS UP, imagine kuna mtu naye anajua ana mke.
Jiongeze babu acha kuyumba
 
Sure mkuu, kipindi cha adolescent stage ilikua ni sifa sana kijana kulala na mabinti wengi, vijana wanajisifu kuchakata mara nyingi. Ila ukikua unakuja kujua ilikua utoto na kukosa maarifa tu.

Hao wake za watu ni rahisi kulala nao ila wanasababisha matatizo tu kwa starehe ya muda mfupi
Vishu
 
Back
Top Bottom