Pre GE2025 Baadhi ya wanachuo wapinga hoja ya Tundu Lissu, ya "No Reform No Election", wasema sio kisemeo cha Taifa

Pre GE2025 Baadhi ya wanachuo wapinga hoja ya Tundu Lissu, ya "No Reform No Election", wasema sio kisemeo cha Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Halafu mnaawaacha wanachuo huku press ya chadema ikidhibitiwa na polisi! Huu ni wendawazimu.
 
Ulitaka waseme nini hao Tawi la CCM?

Halafu hicho kichwa cha habari kimekaa kijinga mno, tafadhari rekebisheni haraka sana

Iseme hivi, Wanachuo tawi la ccm wapinga hoja za msomi Lissu
 
Wameshaingia kwenye mfumo.... Hawajui kama ndio wanaipa airtime zaidi
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Vyuo vyetu vimejaa vichawa na viutitiri, vimekalia kuisifu CCM tu kwa uoga wa kunyimwa mikopo ambayo inawafanya nao waonekane makopo.
 
Zamani vyuo vikuu vilikuwa vitovu vya mijadala kuntu ya kisomi yenye umuhimu kitaifa.
Miaka ya 2010 kushuka chini ilikuwa ufahari mtu kuwa na digrii kwani ilikuwa na tafsiri ya moja kwa moja kuwa wewe ni 'kichwa'.
Siku hizi wanafunzi wa vyuo na maprofesa wao wote ni mabumunda, kila siku kuisifu serikali alimradi kujionesha ili wateuliwe.

HOPELESS GENERATION!
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Utakua tahira ww sio bure
 
Hivi shule/ Chuo huwa munaenda kusoma nini? Ututusa, ujinga au kukaririshwa kuwa panzi ana miguu sita? Acheni ujinga nyie wanachuo. jitambueni. Bado munataka tu kubwebwa bwebwa na wazazi wenu hadi lini? mabadiriko yanawezekana mkijitambua...acheni kuwa ndondocha na panzi wa miguu sita. Siku mkikosa kazi, msije kuomba mchongo maana hamtaki mabadiriko.
 
Ulitaka waseme nini hao Tawi la CCM?

Halafu hicho kichwa cha habari kimekaa kijinga mno, tafadhari rekebisheni haraka sana

Iseme hivi, Wanachuo tawi la ccm wapinga hoja za msomi Lissu
Nakazia: "Wanachuo tawi la ccm wapinga hoja za msomi Lissu" Moderator Hebu rekebisheni hiyo title haraka.
 
Vyombo vya habari vinaikuza hii hoja et wanachuo sema uvccm sio kila mwanachuo NI mjinga
 
Back
Top Bottom