Pre GE2025 Baadhi ya wanachuo wapinga hoja ya Tundu Lissu, ya "No Reform No Election", wasema sio kisemeo cha Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hata akifanya ujinga afuatwe tu hakuna jinsi
Sasa unataka nchi iingie kwenye uchaguzi wa kimagumashi pasipokua na mabadiliko,kwanini hata huo uchaguzi usifutiliwe mbali kama hakutakua na mabadiliko kabla?
Utakua ni mpumbavu kama hujui kua wananchi hawanaga nguvu ya kuamua nani ashinde na nani asishinde.
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Cheap popularity seeker..! Hawa ni washirika wa CCM, Sawa kama wao Wana Chama Chao basi ruksa waende kwenye uchaguzi , lakini Siyo kupitia CHADEMA.
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Uchawa ni shida sana
 
Eti "sisi kama vijana" nani kamteua huyo chawa kuwa msemaji wa vijana?

Wamempa pesa ya lunch basi na akili yake kaiuza jumla.
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Hao siyo wanachuo ni ng'ombe wanaosoma baada ya wazazi wao kuuza ng'ombe ili kuwasomesha. Hivyo wazazi wameuza ng'ombe ili kupata fedha ya kusomesha ng'ombe wengine
 
Anaongea km roboti, af wakefanya makusudi kumuweka mjinga huyu ajimjibu Tundu lisu, wakidhan wanemdharau.
 
You call yourselves as Samia for Us. What the hell does that means? Does it means she is only for you? In that case do not force others to abide with your name against their will. She may be for you but NOT for us.
 
dogo anataka TL aseme kwa niaba ya cdm au kwa mtazamo wake

hapo hapo yeye anatoa tamko la vijana kwa ujumla lini sisi tumemtuma

yaani mwanachuo wa DIT asemeee vyuo hii ni ajabu
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Maana ya Kiliba kwa Kiswahili ni chawa mtoto!😁
 
Nani aliyekwambia kuwa wewe ndo msemaji wa vijana kwenye hili Taifa?

Huyu ni mbung'eng'e
 
Shida ni kuwa hili ni tamko la chadema si la taifa , mbona mnacheza Ngoma msiyojua muziki wake . Mwakilishi wa Samia Us unafikiri alitakiwa akubali Tundu lisu yupo sawa ,lahasha ! .
 
Back
Top Bottom