Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Soma: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Msi

Acheni kutweza jukwaa!!
Yaani vitoto vijinga vikitamka ujinga wowote ule, inakuwa ni hoja ya kujadiliwa JF?
Hivi ni vitoto ambavyo vimekwishaharibiwa akili ili vijekuwa machawa, maana huwezi ukawa chawa ukiwa bado una akili timamu.
Mods, please take off this crap.