Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
hata akifanya ujinga afuatwe tu hakuna jinsiLisu ameshinda, Tumfuate
Vyuo vyetu vimejaa vichawa na viutitiri, vimekalia kuisifu CCM tu kwa uoga wa kunyimwa mikopo ambayo inawafanya nao waonekane makopo.Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Utakua tahira ww sio bureMwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Hivi shule/ Chuo huwa munaenda kusoma nini? Ututusa, ujinga au kukaririshwa kuwa panzi ana miguu sita? Acheni ujinga nyie wanachuo. jitambueni. Bado munataka tu kubwebwa bwebwa na wazazi wenu hadi lini? mabadiriko yanawezekana mkijitambua...acheni kuwa ndondocha na panzi wa miguu sita. Siku mkikosa kazi, msije kuomba mchongo maana hamtaki mabadiriko.Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3215566
Nakazia: "Wanachuo tawi la ccm wapinga hoja za msomi Lissu" Moderator Hebu rekebisheni hiyo title haraka.Ulitaka waseme nini hao Tawi la CCM?
Halafu hicho kichwa cha habari kimekaa kijinga mno, tafadhari rekebisheni haraka sana
Iseme hivi, Wanachuo tawi la ccm wapinga hoja za msomi Lissu