Pre GE2025 Baadhi ya wanachuo wapinga hoja ya Tundu Lissu, ya "No Reform No Election", wasema sio kisemeo cha Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Msi


Acheni kutweza jukwaa!!

Yaani vitoto vijinga vikitamka ujinga wowote ule, inakuwa ni hoja ya kujadiliwa JF?

Hivi ni vitoto ambavyo vimekwishaharibiwa akili ili vijekuwa machawa, maana huwezi ukawa chawa ukiwa bado una akili timamu.

Mods, please take off this crap.
 
Kama mpaka watoto wadogo wameanza kuandaliwa kuwa CHAWA! Hakika kizazi kijacho kitajaa wajinga mara 💯 kuliko hawa wa sasa.


Huko mbeleni, Taifa litakuwa na majitu ya ajabu ajabu. Watu wa aina ya mwashambwa, ndiyo watakuwa wengi. Hapo ndipo Taifa litakuwa limekufa, maana watu watakaokuwepo hawatakuwa tofauti na zizi la nguruwe.
 

Yakitoka hayana ajira yanaanza fungua Jobless organizations
 
Taasisi ya samia us, mlitaka waseme nn zaidi ya hicho, mmewapamba kuwaita wanachuo mngesemq wana ccm
 
Hawa machawa tu, hawana sifa ya kutusemea
 
Injinia kitini Mwanasayansi Mpauko anaongea kwa kusoma kama alivyozoeshwa.
 
Ndio maana tunasisitiza juu ya kuangalia na kuset upya mfumo wa ELIMU.

Msomi aliyeelimika linapofika suala la mambo nyeti hasa yanayohusiana na ustawi wa Taifa lake huwa hawi na upande bali hujadiili kwa fact na Kwa kutumia maarifa mengi na akili huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…