Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

Write your reply...
Mzee wa "no uniform no erection" tambua majukumu mengine ya JWTZ ni kulinda hyo katiba..
unajua kupga kura na kupigiwa kura ni haki yako kikatiba?
sasa anatokea kinyanjuwili mmoja anasema atazuia watu kupiga na kupgiwa kura na anahamasisha watu kufanya hao, unadhani afanywajwe?
UNATEGEMEA HAO JW WAMDEKEZE?

halafu ma no no yenu hayo si ajenda ya taifa, hiyo ni ajenda yenu..
MA ACT YANA LINDA DEMOKRASIA YAKO, MA CCM YANA SIJUI UTU UMEFANYA NIN KWENYE KAZI, KUNA UBWABWA NA MENGINEYO..

MA NO NO NOO YENU HAYO YANGEKUWA AJENDA YA KITAIFA HALAFU MKITI WENU YUPO LOCK UP, BASI taifa zima lingekuwa limechachafya.. kila mtu yupo busy na mambo yake..
ni ajenda ya kitaifa halafu mtu anakamatwa kati kati ya watu kama kapanya?

nyie wenye vyama acheni kutuchanganya, sisi tupo busy na kilimo.

yaan niache kupambana na masika haya angalau nivune chochote eti niende kupambania maccm maact au macdm..

HALAFU ACHENI KUWA SERIOUS NA MISIASA YA TZ..
 
🐷 lingine hili hapa!
 
Kuna watu humu kutwa wanaponda vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na ungekuwa wewe ungeweza?

Mfano tu kama kwa Polisi Hakunaga polisi anaejichukulia maamuzi yeye Mara zote order huwa zinatoka juu mfano tu kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Lissu we unadhani labda Polisi ndo kajiamlia tu kwamba tukamkamate Lissu bila maelekezo kutoka juu?

Kwa waliopita majeshini wanajua adhabu za kukataa amri halali ya kiongozi wako.

Kwa hiyo hata kama ungekuwa ni wewe usingeweza kuzikataa amri halali za viongozi wako ambao nao wanapewa toka juu, eti unataka mtu ahatarishe kibarua chake alichokipata kwa shida na ajira zenyewe ngumu hizi kisa tu mtu kakaa nyumbani kwake Ana type kama ni rahisi vile wakati huohuo yeye viongozi wa Chama chake wakiitisha maandamano mtaani hatokei halafu ndo mimi nahatarishe kibarua kisa yeye!
 
TOKA MAKTABA :

BRIGADIA - VIONGOZI SIYO KWAMBA MNAJUA SANA

View: https://m.youtube.com/watch?v=tCl8HGxzHsU

Balozi Brigadia Jenerali mstaafu Francis Mndolwa akizungumza ktk kituo cha televisheni cha ITV

Katiba inarekebishika, katiba ni takwa la wananchi. Viongozi msiburuze wananchi msidhani mnajua kila kitu. Uongozi ni kuwa msikivu... msigonganishe wananchi ... ninyi mna dhamana kubwa tena mmekashimishwa tu kwa muda ...asema mstaafu huyo....vijana msikubali ...

Brigadia Jenerali mstaafu alihudumu jeshini TPDF, balozi wa Tanzania nchini Burundi 2003 - 2010 na pia ni mjumbe wa kamati Tendaji ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation.

Brigedia Mstaafu Mh.Balozi Francis Mdolwa amesema kuwa Watanzania wanaombwa siku zote kuendelea kudumisha yale mazuri yote yaliyopatikana tangu enzi za uhuru ikiwemo umoja amani na mshikamano
 
Idadi ya polisi, mgambo na hao jwtz kwa ujumla ni wangapi?
Je wataka mabadiliko ni wangapi
 
Kuna watu humu kutwa wanaponda vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na ungekuwa wewe ungeweza?

Mfano tu kama kwa Polisi Hakunaga polisi anaejichukulia maamuzi yeye Mara zote order huwa zinatoka juu mfano tu kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Lissu we unadhani labda Polisi ndo kajiamlia tu kwamba tukamkamate Lissu bila maelekezo kutoka juu?

Kwa waliopita majeshini wanajua adhabu za kukataa amri halali ya kiongozi wako.

Kwa hiyo hata kama ungekuwa ni wewe usingeweza kuzikataa amri halali za viongozi wako ambao nao wanapewa toka juu, eti unataka mtu ahatarishe kibarua chake alichokipata kwa shida na ajira zenyewe ngumu hizi kisa tu mtu kakaa nyumbani kwake Ana type kama ni rahisi vile wakati huohuo yeye viongozi wa Chama chake wakiitisha maandamano mtaani hatokei halafu ndo mimi nahatarishe kibarua kisa yeye!
Sawa polisi walipewa amri wamkamate Lissu, sasa kulikuwa na sababu gani kumkamata hadharani kwa nguvu kupita kiasi na kupiga mabomu ya machozi?

Ni ujuha tu na kutafuta sifa kwa watawala! Ushenzi mtupu!
 
Ninyi ni JESHI la WANANCHI sio JESHI la CCM.
Msitafute ugombi na kila mtu. Lissu yupo nyie nyumbu mnafokea ndani. Hakuna hata mmoja ameenda kumsaidia. Sasa hivi mnajifanya mnalijua jeshi! Wajinga sana ninyi. Na mtakomeshwa tu!
 
Back
Top Bottom