Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

Msitafute ugombi na kila mtu. Lissu yupo nyie nyumbu mnafokea ndani. Hakuna hata mmoja ameenda kumsaidia. Sasa hivi mnajifanya mnalijua jeshi! Wajinga sana ninyi. Na mtakomeshwa tu!
Wakati Mobutu anatawala kihuni hukk DRC alikuwa na wapambe kama ww, ila siku alitolewa madarakani wapambe wake waliishi kwa shida sana. Jiandae ukweli huo hauko mbali sana.
 
Hakuna ubaya Jeshi kujihusisha na Siasa, Shida yetu kubwa ni Aina ya viongozi wanaingoza nchi kukosa maono.

Israel kila Raia ni Askari na kila Kiongozi aliwahi kupigana vita au kufanya operation ya Kijeshi, wao wanatambua siri kubwa sana, Ukiimarisha Jeshi umeitajirisha nchi...

Tanzania Jeshi letu tumelisahau sana Ndio maana huoni Majenerali huko Chadema, na pia Ndio maana unaona Chadema ina vijana kama Wajinga Wajinga na hawako Pragmatic hasa kuhusu nchi
 
Wakati Mobutu anatawala kihuni hukk DRC alikuwa na wapambe kama ww, ila siku alitolewa madarakani wapambe wake waliishi kwa shida sana. Jiandae ukweli huo hauko mbali sana.
Kwa wakati huu hakuna mjinga mjinga anaweza kuiondoa Serikali halali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Hata kitendo Cha Wanajeshi kupewa vyeo vya kisiasa kama ukuu wa Wilaya ni makosa makubwa.
 
Limekuwa Jeshi la CCM aka Green Guard. Siyo la Wananchi tena
 
Back
Top Bottom