KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kiboko yao M23Jeshi la pili duniani kwa vita ya chini
Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa!ππ¨Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa!
Aibu yenu!
View: https://twitter.com/EggleVuvu/status/1911627918297510122?t=DZmaso4Rq_BLUHV-3rc_vA&s=19
Ni kuchanganyikiwa kulikopitilizaHapo napo kaona kaongea jambo la maana?
π· lingine hili hapa!Write your reply...
Mzee wa "no uniform no erection" tambua majukumu mengine ya JWTZ ni kulinda hyo katiba..
unajua kupga kura na kupigiwa kura ni haki yako kikatiba?
sasa anatokea kinyanjuwili mmoja anasema atazuia watu kupiga na kupgiwa kura na anahamasisha watu kufanya hao, unadhani afanywajwe?
UNATEGEMEA HAO JW WAMDEKEZE?
halafu ma no no yenu hayo si ajenda ya taifa, hiyo ni ajenda yenu..
MA ACT YANA LINDA DEMOKRASIA YAKO, MA CCM YANA SIJUI UTU UMEFANYA NIN KWENYE KAZI, KUNA UBWABWA NA MENGINEYO..
MA NO NO NOO YENU HAYO YANGEKUWA AJENDA YA KITAIFA HALAFU MKITI WENU YUPO LOCK UP, BASI taifa zima lingekuwa limechachafya.. kila mtu yupo busy na mambo yake..
ni ajenda ya kitaifa halafu mtu anakamatwa kati kati ya watu kama kapanya?
nyie wenye vyama acheni kutuchanganya, sisi tupo busy na kilimo.
yaan niache kupambana na masika haya angalau nivune chochote eti niende kupambania maccm maact au macdm..
HALAFU ACHENI KUWA SERIOUS NA MISIASA YA TZ..
Kuna uzi humu uliwekwa humu kama dokezo hao wanajeshi wastaafu wanamuomba mama Abdul awalipe mafao yao.Ni kuchanganyikiwa kulikopitiliza
HahahaaaKiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa!ππ¨
Halafu haifai na wala haipendezi kutoa siri kama hizo hadharaniJWTZ linapaswa kujitafakari pale majenerali wake wanapojiunga na CCM! Vyama vya upinzani siyo magaidi!
Unaweza ukawa sahihi kabisa, akili hakuna. So wanapopewa mishahara mikubwa ni kama akili zinawehuka.Siyo failures tu wengine hata vyeti wame-forge
Ha ha ha kuwa serious mkuu.Jeshi la pili duniani kwa vita ya chini
Ni kweli wanatuaminisha hivyoHa ha ha kuwa serious mkuu.
Sawa polisi walipewa amri wamkamate Lissu, sasa kulikuwa na sababu gani kumkamata hadharani kwa nguvu kupita kiasi na kupiga mabomu ya machozi?Kuna watu humu kutwa wanaponda vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na ungekuwa wewe ungeweza?
Mfano tu kama kwa Polisi Hakunaga polisi anaejichukulia maamuzi yeye Mara zote order huwa zinatoka juu mfano tu kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Lissu we unadhani labda Polisi ndo kajiamlia tu kwamba tukamkamate Lissu bila maelekezo kutoka juu?
Kwa waliopita majeshini wanajua adhabu za kukataa amri halali ya kiongozi wako.
Kwa hiyo hata kama ungekuwa ni wewe usingeweza kuzikataa amri halali za viongozi wako ambao nao wanapewa toka juu, eti unataka mtu ahatarishe kibarua chake alichokipata kwa shida na ajira zenyewe ngumu hizi kisa tu mtu kakaa nyumbani kwake Ana type kama ni rahisi vile wakati huohuo yeye viongozi wa Chama chake wakiitisha maandamano mtaani hatokei halafu ndo mimi nahatarishe kibarua kisa yeye!
Wakisikia M23 πππNi kweli wanatuaminisha hivyo
Msitafute ugombi na kila mtu. Lissu yupo nyie nyumbu mnafokea ndani. Hakuna hata mmoja ameenda kumsaidia. Sasa hivi mnajifanya mnalijua jeshi! Wajinga sana ninyi. Na mtakomeshwa tu!Ninyi ni JESHI la WANANCHI sio JESHI la CCM.
π wewe!Msitafute ugombi na kila mtu. Lissu yupo nyie nyumbu mnafokea ndani. Hakuna hata mmoja ameenda kumsaidia. Sasa hivi mnajifanya mnalijua jeshi! Wajinga sana ninyi. Na mtakomeshwa tu!
Msitafute ugombi na kila mtu. Lissu yupo nyie nyumbu mnafokea ndani. Hakuna hata mmoja ameenda kumsaidia. Sasa hivi mnajifanya mnalijua jeshi! Wajinga sana ninyi. Na mtakomeshwa tu!