Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

Unadhani uasi hizo nchi nyingine ulifyatuka from nowhere kama kimondo?
Binti yako anaanza kunyoa panki na kuvaa mlegezo badala ya kuchukua hatua unamtetea kwa kudai kama ingekuwa vibaya angekuwa msagaji. Sasa si ndio anaelekea uko.
Kwa mfano hai,ni jesho la nchi gani lilikuwa kama JWTZ na sasa limeasi?
 
Majeshi yote ya Tz yametengeneza chuki baina yao na raia kwasababu ya kupenda misifa
Ila tuache utani wakikuotea unachapika mazee 🤣🤣🤣🤣
Kuna jamaa alipigwa afu akaambiwa agalegale kwenye matope mpk huruma
 
Tatizo nchi inaongozwa kizezeta ndio maana matukio ya kiqumer kama haya yanaendelea kutukia ktk nchi hii ya kusadikika (Shaban Robert).
 
Umeeleza vzr lakini hapo kwenye ULOZI bado sijakupata mkuu
 
Unataka wanajeshi wetu wawe na nishamu ya uwoga??????
 
Majeshi yote ya Tz yametengeneza chuki baina yao na raia kwasababu ya kupenda misifa
Ila tuache utani wakikuotea unachapika mazee 🤣🤣🤣🤣
Kuna jamaa alipigwa afu akaambiwa agalegale kwenye matope mpk huruma
🤣🤣🤣
 
Inajdiliwa kwa Misingi ipi ndo unatakiwa ujue kuja sehehemu zinazovuswa ila hawagusi sehemu nyeti zozote kama mipango ya fedha hizo
Bajeti nzima ya wizara ikijadiliwa inatosha kabisa...hayo mengine yapo humo humo.
 
Ndo hawa walienda kawe kupiga raia.....mama kafungua nchi
 
Ni vita pekee huwaleta wanajeshi na raia wa kawaida pamoja.


Sio wakati huu ambapo raia anaamini mwanajeshi hawezi kulia mpaka kugalagala chini.
Kwa hiyo tunashirikishana wakati wa vita dunguadungua inapoanza. Hapo waliosomea kozi za kuuliwa wanakimbia wanataka raia ndio wakae mstari wa mbele kama chambo[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kawaida jeshi lolote siyo chombo cha kukenua meno na kucheka ovyo. Hii ni kweli kwa majeshi yote (JW, TP, JKT, TZ Prisons) na majeshi ya nchi zote. Kwa wale waliyopitia JKT mtakumbuka uhusiano wenu na raia ilipo JKT. Wanajeshi wanapenda kusaidiana maana kila mmoja amefundishwa kumtegemea mwenzake. Kwa hiyo hata ufundishe vipi, kimatendo mwanajeshi atabaki kuwa mwanajeshi na raia atabaki kuwa raia. Na hilo la katiba mpya sijui limeiingiaje hapa. Yaani sasa kila kitu ni katiba mpya. Katiba ni maandishi tu, hata kama ikipatikana, utekelezaji wa yaliyomo kwenye katiba utafanywa na binadamu na inaweza isifuatwe. Kama iliyopo inashindwa kufuatwa tuna hakika gani hiyo mpya itafuatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…