Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha.
Wananchi wamechukua uamuzi huo baada ya watoto kuanza kuiba pesa majumbani na kwenda kucheza kamari,
Pia baadhi ya watu wazima nao baada ya kufanya vibarua pesa zote huelekeza kwenye kamari na kusahau kuhudumia familia.
Hali hiyo imepelekea wananchi kuzimwagia soda,maji ndani ya machine hivo kuharibika ,na wengine kuzibomoa kabisa machine hizo.