Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari

Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari

Ila hao watakuwa ni wahamiaji wachaga hawawezi kucheza kamari tena kwa hela Yao jamaa wako smart sana
Screenshot_20240830-131511.png
 
Hebu tuje swala la msingi iweje wachaga na uelewa wao wote wanapigwa pesa na mpaka kuuawa na mwamposa wakati kwa mtu mwenye akili timamu hauwezi kuamini vile kuwa mafuta ya alizeti yanaondoa dhambi?
Ni sababu zile zile zinazofanya mahujaji wasomi wasio na shida Wala tatizo waamini shetani anapigwa jiwe in turn shetani huyo anawanywa dam
 
Ni sababu zile zile zinazofanya mahujaji wasomi wasio na shida Wala tatizo waamini shetani anapigwa jiwe in turn shetani huyo anawanywa dam
Kuhusu suala la namna ya kuhiji hilo lipo kimaandiko na sasa nionyeshe nabii ýeyote aliyewaambia watu wakanyage mafuta ya alizeti ili waondolewe dhambi
 
Mzee mmoja akitaka kuniuzia mji wake ati yeye kwakuwa ana mifugo basi ajisogeze porini kidogo ili mifugo ipate malisho .
Mimi hela Sina maana nilishahonga ,nikamconnect na rafiki yangu basi rafiki akampa milioni nne wakikubaliana mbili ammalizie mwezi wa kumi .

Mzee Sasa hivi hanisalimii Wala haniheshimu tena hapa kijijini kisa anavaa pamba Kali na pale anapouza hajahama eti asubiri amaliziwe hela take ,daily yupo bar anakunywa bia na kucheza dubwana basi nikichungulia nikamuona bar nacheeeeka mwenyewe maana najua hela itamuishia alafu hatakosa kwa kwenda na mwisho ataanza kujizoesha tena kwangu ndiyo hapo nitambutua kwa mineno ya kizaramo hataomini namngoja kwa hamu
Bwahaaaaaaaa.....🤣

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha.

Wananchi wamechukua uamuzi huo baada ya watoto kuanza kuiba pesa majumbani na kwenda kucheza kamari,

Pia baadhi ya watu wazima nao baada ya kufanya vibarua pesa zote huelekeza kwenye kamari na kusahau kuhudumia familia.

Hali hiyo imepelekea wananchi kuzimwagia soda,maji ndani ya machine hivo kuharibika ,na wengine kuzibomoa kabisa machine hizo.View attachment 3082479
Vijiji vingi vya Ukuryani walishakataa huo upuuzi.
 
Na sisi mikoa mingine tunafaa kuzikataa.
Haya madude yanaharibu vijana hadi wanafunzi.
 
Back
Top Bottom