Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari

Hawa majamaa naona kama idadi yao inazidi kuongezeka siku hadi siku bongo hii 😄
Wengi sana na wanawekeza sana kwenye real estate sahv si umeona ule mtaa ursino walivyochukua mijumba na kuweka biashara zao,ukipita sahv utafikiri uko China pilika zao
Ile hoteli ya Ray regency kampa mchina sahv,palm village ni ya yule mwanamama
Tanzanite Park pale Victoria mchina..sehemu kibao tu sahv wanawekeza

Ova
 
Na wanaifurahia nchi vibaya mno hata kwa kuwaangalia tuu
 
Hii kampeni inapaswa isambae nchi nzima. Haiwezekani kila kichochoro kuna kuwa na korokoro la mchina wachezaji waje wengi ni wanafunzi wa shule za msingi.

Serikali ipo kimya, bila shaka ni wanufaika.
Nilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.

Nikamuuliza vipi kuhusu kukuza na kulea watoto wetu katika maadili? Je mbona kwao China hayo maguruguru hayapo kila sehemu wanaweka kwenye Makasino na Night clubs tu. Akasema kikubwa tunapata kodi ambazo zinaleta maendeleo kwetu.

Ningekuwa Rais wa nchi hii, ningekataza kabisa hayo madudu. Ningekataza kabisa betting na huu ujinga uliojaa sasa wa akina tatu mzuka na upumbavu mwingine kwani tunazalisha na kukuza kizazi cha ajabu na hovyo kinachoaminishwa kuwa maisha ni marahisi na yana short cut.
 
Mtaji wa CCM ni wajinga kwa hilo jibu la mkuu wa wilaya.
 
Meka wamekanyagana majuzi wakafa wengi? Je wanaoenda ni watu special?
Walikanyagana wakati wanatimiza moja ya nguzo za uislamu sasa tuje kwenye ukanyagaji mafuta ya alizeti ili uondolewe dhambi hiyo imeandikwa kwenye sura gani ndani ya biblia?
 
Wanajielewa sana, hongera yao hili lingeungwa mkono kitaifa ingesaidia sana.
 
Wengi sana na wanawekeza sana kwenye real estate sahv si umeona ule mtaa ursino walivyochukua mijumba na kuweka biashara zao,ukipita sahv utafikiri uko China pilika zao
Ile hoteli ya Ray regency kampa mchina sahv,palm village ni ya yule mwanamama
Tanzanite Park pale Victoria mchina..sehemu kibao tu sahv wanawekeza

Ova
Hawa nilipowaona Mtwara nikajua basi nchi imeingiliwa kwani kila kona wamefika .
 
Kuna wakati jamaa waliingiza toyota klugger kama 30 hivi kwa ajili ya kupitia makusanyo yao
Kwenye vituo vya bonanza

Ova
 
Nilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.

Nikamuuliza vipi kuhusu kukuza na kulea watoto wetu katika maadili? Je mbona kwao China hayo maguruguru hayapo kila sehemu wanaweka kwenye Makasino na Night clubs tu. Akasema kikubwa tunapata kodi ambazo zinaleta maendeleo kwetu.

Ningekuwa Rais wa nchi hii, ningekataza kabisa hayo madudu. Ningekataza kabisa betting na huu ujinga uliojaa sasa wa akina tatu mzuka na upumbavu mwingine kwani tunazalisha na kukuza kizazi cha ajabu na hovyo kinachoaminishwa kuwa maisha ni marahisi na yana short cut.
Ndio maana haujawa uraisi unafikiri raisi wanapataga wajinga kama wewe
 
Nilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.

Nikamuuliza vipi kuhusu kukuza na kulea watoto wetu katika maadili? Je mbona kwao China hayo maguruguru hayapo kila sehemu wanaweka kwenye Makasino na Night clubs tu. Akasema kikubwa tunapata kodi ambazo zinaleta maendeleo kwetu.

Ningekuwa Rais wa nchi hii, ningekataza kabisa hayo madudu. Ningekataza kabisa betting na huu ujinga uliojaa sasa wa akina tatu mzuka na upumbavu mwingine kwani tunazalisha na kukuza kizazi cha ajabu na hovyo kinachoaminishwa kuwa maisha ni marahisi na yana short cut.
Waliokupa urais ndiyo wawekezaji kwenye hizo kamari.
 
Back
Top Bottom