Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ukute watoto nyumbani hawana chakula.Niko Moshi muda huu maeneo ya Ushirika wa Neema.... Kuna wagogo wanafanya kazi shamba la kahawa Kilimanjaro Plantation aisee wanacheza mshahara wao wote hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute watoto nyumbani hawana chakula.Niko Moshi muda huu maeneo ya Ushirika wa Neema.... Kuna wagogo wanafanya kazi shamba la kahawa Kilimanjaro Plantation aisee wanacheza mshahara wao wote hapa.
Hawa majamaa naona kama idadi yao inazidi kuongezeka siku hadi siku bongo hii 😄Ukiwakuta wenyewe China plaza huko mikocheni wanajiachia tu
Baada ya kujichotea mihela
Ova
Wengi sana na wanawekeza sana kwenye real estate sahv si umeona ule mtaa ursino walivyochukua mijumba na kuweka biashara zao,ukipita sahv utafikiri uko China pilika zaoHawa majamaa naona kama idadi yao inazidi kuongezeka siku hadi siku bongo hii 😄
Na wanaifurahia nchi vibaya mno hata kwa kuwaangalia tuuWengi sana na wanawekeza sana kwenye real estate sahv si umeona ule mtaa ursino walivyochukua mijumba na kuweka biashara zao,ukipita sahv utafikiri uko China pilika zao
Ile hoteli ya Ray regency kampa mchina sahv,palm village ni ya yule mwanamama
Tanzanite Park pale Victoria mchina..sehemu kibao tu sahv wanawekeza
Ova
Kodi!Hili ni tatizo lingine kwa taifa, sijui kwanini serikali inalifumbia macho.
Sawa wafanye sehemu maalum lakini sasa hivi popote tuu linaweka lile dubu.Kodi!
Nilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.Hii kampeni inapaswa isambae nchi nzima. Haiwezekani kila kichochoro kuna kuwa na korokoro la mchina wachezaji waje wengi ni wanafunzi wa shule za msingi.
Serikali ipo kimya, bila shaka ni wanufaika.
Meka wamekanyagana majuzi wakafa wengi? Je wanaoenda ni watu special?Wachaga huwa wanajiona watu special mno ila mwamposa aliwaua hukohuko kwao
Mtaji wa CCM ni wajinga kwa hilo jibu la mkuu wa wilaya.Nilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.
Nikamuuliza vipi kuhusu kukuza na kulea watoto wetu katika maadili? Je mbona kwao China hayo maguruguru hayapo kila sehemu wanaweka kwenye Makasino na Night clubs tu. Akasema kikubwa tunapata kodi ambazo zinaleta maendeleo kwetu.
Ningekuwa Rais wa nchi hii, ningekataza kabisa hayo madudu. Ningekataza kabisa betting na huu ujinga uliojaa sasa wa akina tatu mzuka na upumbavu mwingine kwani tunazalisha na kukuza kizazi cha ajabu na hovyo kinachoaminishwa kuwa maisha ni marahisi na yana short cut.
Walikanyagana wakati wanatimiza moja ya nguzo za uislamu sasa tuje kwenye ukanyagaji mafuta ya alizeti ili uondolewe dhambi hiyo imeandikwa kwenye sura gani ndani ya biblia?Meka wamekanyagana majuzi wakafa wengi? Je wanaoenda ni watu special?
Baada ya kuliwa sana na kupata hasara wameshtukaWanajielewa sana, hongera yao hili lingeungwa mkono kitaifa ingesaidia sana.
Bora kushtuka kuliko kuendelea kuliwa zaidi.Baada ya kuliwa sana na kupata hasara wameshtuka
Ova
Hawa nilipowaona Mtwara nikajua basi nchi imeingiliwa kwani kila kona wamefika .Wengi sana na wanawekeza sana kwenye real estate sahv si umeona ule mtaa ursino walivyochukua mijumba na kuweka biashara zao,ukipita sahv utafikiri uko China pilika zao
Ile hoteli ya Ray regency kampa mchina sahv,palm village ni ya yule mwanamama
Tanzanite Park pale Victoria mchina..sehemu kibao tu sahv wanawekeza
Ova
Kuna wakati jamaa waliingiza toyota klugger kama 30 hivi kwa ajili ya kupitia makusanyo yaoHawa nilipowaona Mtwara nikajua basi nchi imeingiliwa kwani kila kona wamefika .
Ndio maana haujawa uraisi unafikiri raisi wanapataga wajinga kama weweNilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.
Nikamuuliza vipi kuhusu kukuza na kulea watoto wetu katika maadili? Je mbona kwao China hayo maguruguru hayapo kila sehemu wanaweka kwenye Makasino na Night clubs tu. Akasema kikubwa tunapata kodi ambazo zinaleta maendeleo kwetu.
Ningekuwa Rais wa nchi hii, ningekataza kabisa hayo madudu. Ningekataza kabisa betting na huu ujinga uliojaa sasa wa akina tatu mzuka na upumbavu mwingine kwani tunazalisha na kukuza kizazi cha ajabu na hovyo kinachoaminishwa kuwa maisha ni marahisi na yana short cut.
Waliokupa urais ndiyo wawekezaji kwenye hizo kamari.Nilishawahi muulizaga DC mmoja kwenye mkutano wa hadhara akasema eti serikali inapata kodi so hawawezi kuzitoa.