Wanacheza sana tu. Nenda kaskazini huko utakutana nao.Ila hao watakuwa ni wahamiaji wachaga hawawezi kucheza kamari tena kwa hela Yao jamaa wako smart sana
Hai si ndio kaskazini tena kwa wamachame kabisa hapo ndio kwenye wachaga wenyewe wenye uchungu halisi na pesa Sasa wanampelekea mchina kirahisi kupitia dubu!?Wanacheza sana tu. Nenda kaskazini huko utakutana nao.
Meamposa ndio kiboko yaoHai si ndio kaskazini tena kwa wamachame kabisa hapo ndio kwenye wachaga wenyewe wenye uchungu halisi na pesa Sasa wanampelekea mchina kirahisi kupitia dubu!?
Hata wazaramo hawafanyi hii siku hizi soko la madubu ni dodoma
Ukijizoesha kucheza huo mchezo inageuka kuwa tabia sugu na hatarishi.Gusa unase.Fanya yote mema ila usithubutu kujifunza hilo dubwana.Utalia kwa kwikwi kama mtu mwenye kifaduro.Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha.
Wananchi wamechukua uamuzi huo baada ya watoto kuanza kuiba pesa majumbani na kwenda kucheza kamari,
Pia baadhi ya watu wazima nao baada ya kufanya vibarua pesa zote huelekeza kwenye kamari na kusahau kuhudumia familia.
Hali hiyo imepelekea wananchi kuzimwagia soda,maji ndani ya machine hivo kuharibika ,na wengine kuzibomoa kabisa machine hizo.View attachment 3082479
Wewe utakuwa mchina wa mchongo.Tell them they are focusing on the wrong cause
Umesikia kisa cha mzee wa kichaga alieliwa na vitoto vya miaka kumi?Ila hao watakuwa ni wahamiaji wachaga hawawezi kucheza kamari tena kwa hela Yao jamaa wako smart sana
Hao ni gamblers wenyewe nenda Arusha ukaone .Ila hao watakuwa ni wahamiaji wachaga hawawezi kucheza kamari tena kwa hela Yao jamaa wako smart sana
Mwamposa mbona aliwaueni huko wapuuzi ninyi?Hai si ndio kaskazini tena kwa wamachame kabisa hapo ndio kwenye wachaga wenyewe wenye uchungu halisi na pesa Sasa wanampelekea mchina kirahisi kupitia dubu!?
Hata wazaramo hawafanyi hii siku hizi soko la madubu ni dodoma
Wachaga huwa wanajiona watu special mno ila mwamposa aliwaua hukohuko kwaoHao ni gamblers wenyewe nenda Arusha ukaone .
Hai hakuna simba na yanga na ccm ilishakufa.Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha.