Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Msela kabisa anajifanya manzi ukimpigia simu anabana sauti ..... halafu ukute msela umesha andaa na condom kqbisa ...
Kwenye social media ukizubaa unaliwa. Ukijifanya unapenda wanawake unapigwa. Ukijifanya una tamaa unapigwa. Lipi geni? Tuulize sisi tuliopo tangu miaka ya 2003 wakati MySpace ndiyo imeshika chati tukuambie. Hapa siyo kanisani (oppss.. hata makanisani nako siku hizi matapeli kibao).
 
Daaah kweli we mtata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dogo kafeli na anaendeshwa na tamaa kashindwa kumtain status. Ujue hapa jf unaweza mvua mtu hata 1M kwa maneno tu.

Humu kuna vimtu vina pesa, hizo bukubuku piga fesibuku.

Mtu anakugrade kulingana na pesa uliyoomba. Sasa unaomba buku we kama sio mwajuma ndala ndefu wa kwamtogole ni nani sasa...
 
Wengine Mkiangalia avatar tu mnawehukagaa kweli... ndio mkomeeee nasemajeeeeee mkomeee [emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]!
Mimi hayo majinga majinga yanayoumba picha za wanawake kwenye vichwa vyao kwa kutumia post au avatar wanazopost halafu yanatongoza huwa nasema wacha yapigwe tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu acha kuchekesha watu naona unaongea kwa uchungu sana....
An umekelwa sana na hivi vitendo aiseeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yeye anajileta kwenu? Mie nikajua nyie mna mfata kupitia nyuzi zake za kujisifiaaa woiiiiiiiii.

Hapo ndo anakwamaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani haka kamevalia njuga kweli huu uzi
 
Hawa ndo waliosemwa hapa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…