cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sio uongo dear wanapigwa mnooo.Wakitoka hapo utaona mada zitakuwa nyingi mara single mamaziii si watu,Ukitaka kuoa oa bikra yaani hapo ujue machungu ya kupigwa pm yanapungunzwa [emoji51]
Afu sasa sio wachoyoo, ukute labda hana hela, ila wengi ni Toa toa.