Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani
Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu
Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa walaini sana kama dada zao inasikitisha sana
Malezi kwa watoto wa kiume yameporomoka sana
Baadhi ya vijana wa kiume wakicheza Taarabu ya vidole juu