Nadhani usingejumuisha wanaume wote wenye based on single videoBaadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani
Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu
Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa walaini sana kama dada zao inasikitisha sana
Malezi kwa watoto wa kiume yameporomoka sana
Baadhi ya vijana wa kiume wakicheza Taarabu ya vidole juu
Wengine wako mpakani mwa Kenya na Tanzania kila siku wanalalamika kupigwa na wake zaoBaadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani
Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu
Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa walaini sana kama dada zao inasikitisha sana
Malezi kwa watoto wa kiume yameporomoka sana
Baadhi ya vijana wa kiume wakicheza Taarabu ya vidole juu
Hatari sana wakiwasaidia wa kike kazi zao wao nani atafanya zaoKuna dogo mmoja shoga naona anajitia umaarufu nae nimemuona hapo, ila nimegundua kitu
Media zetu zinawapa promo sana hawa machoko wanaamua yupi awe maarufu yupi asubiri kwanza ,
Yule Agrey wamempandisha wee kastuka wamemkimbia nao ushenzi mtupu
Shida ni Malezi toka ngazi ya family aisee tumezidi kuendekeza na kudekeza watoto.
Hivi kweli kwenye mji wako una vijana wa darasa la saba na kuendelea house girl na house boy wa kazi gani.
Watoto tunawalemaza unakuta kijana ndani ya nyumba hafui, hafanyi usafi chumbani kwake wala mazingira ya nyumbani na wazazi tunarelax na kuona ndio mtindo bora wamaisha.
Sio siri tunatengeneza mabomu.
Sultan ni mzanzibar, akirudi nyumbani kwao ni sahihi kabisa
Hajawahi kuikosea Zanzibar chochote. Hana makosa yoyote ya jinai juu yake!
Nikweli mkuuShida ni Malezi toka ngazi ya family aisee tumezidi kuendekeza na kudekeza watoto.
Hivi kweli kwenye mji wako una vijana wa darasa la saba na kuendelea house girl na house boy wa kazi gani.
Watoto tunawalemaza unakuta kijana ndani ya nyumba hafui, hafanyi usafi chumbani kwake wala mazingira ya nyumbani na wazazi tunarelax na kuona ndio mtindo bora wamaisha.
Sio siri tunatengeneza mabomu.
Ma bwabwa kama yoteBaadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani