ChaiBaadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.
Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.
Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.
Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
YA MAMAChai
Hali ni mbaya sanaAsante kwa ushuhuda mkuu, ukweli ni kwamba wake za watu wanamegwa sana huko maofisini.
Ume ahirisha kuoa mkuu ?Kuhusu suala ndoa, ni sawa na kutafuta bikra kwa changudoa.
Hata waume za watu wanamega sana maofisiniAsante kwa ushuhuda mkuu, ukweli ni kwamba wake za watu wanamegwa sana huko maofisini.
Mkuu ndoa yangu lazima iwepo, comrade Joanah Kuna mabadiliko yoyote π?Ume ahirisha kuoa mkuu ?
Mkuu nitake radhi nitake radhii ππMmekutana ofisi yote washenzi tupu
Ila wake za watu wanaobaki nyumbani wanapigwa sana na boda boda na vijana wengine wa mtaani.Asante kwa ushuhuda mkuu, ukweli ni kwamba wake za watu wanamegwa sana huko maofisini.
π€£π€£Ila wake za watu wanaobaki nyumbani wanapigwa sana na boda boda na vijana wengine wa mtaani.