Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana

Mshukuru Mungu hakufanya namna marafiki zake wanataka, wengi huwa hawatoboi kwa marafiki, halaf akisha kuacha marafiki ndio wataanza kumnyooshea vidole. Mtunze, muwekenmbali na hao watu
 
Ndio muelewe kuwa ndoa ni ya wawili tuu usiruhusu marafiki wala ndugu kutia neno
 
Ni kweli nilikosea. Kwa namna walivyomwongelesha niliona thabiti aliwaamini wote na alikuwa anataka kufanya maamuzi magumu. Nilitamani sana aweze kusimamia shoo mwenyewe ila kuna njia bora zaidi za kufanya kuliko nilivyofanya. Ni Mungu tu aliniongoza niseme nae kwa undani baada ya tukio. Sishauri mtu yeyote kufanya vile nilivyofanya kwa sababu watu wana roho mbaya sana na unaweza kuwapa mwanya watu kumjaza ujinga
 
Usimjaribu mkeo! Unajua nani kamsaidia huko polisi sijui mahakamani? Unajua kampataje huyo mwizi? Unajua kwanini marafiki wametafute uthibitisho kwamba una mwingine?

Mkeo katoka nje ya ndoa. Umeshaliwa hapo eboo mwanaume mwenzako ndo kafanyia kazi hio shughuli hadi kalipwa shauri lako. Marafiki wamemtafutia uthibitisho ili asijisikie vibaya. Usikute hao hao ndo wamemtafutia mtu wa kukusaidia sababu we umekaa tu. Sikiliza hadithi ya ‘dunia haina huruma’ ya bahati bukuku. Wanaume, msiwajaribu wake zenu. Akipata shida mpambanie ndie mke wako huyoooo. Ubinafsi wako utaruhusu wenzako wamsaidie wampore akidhani wanamjali kuliko wewe. Kuwa makini. Usimpe mtu upenyo wowote kumhangaikia mkeo na wewe upo
 
Duh atiii
 
Thus a woman I need,,
A woman who can preserve our privacy indeed. Kapeace I feel you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…