Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

2m! Walikuwa timu ya watu wanne!
 
Mkuu vipi kuhusu kama nataka kuua mtu asiye na hatia, protocol inasemaje? sambaba na vitu ambayo mganga anaweza kuvihitaji kabla ya kutekeleza zoezi la mvuta mtu kwenye kalai ama kigoda cha kukalia kilichowekwa maji juu yake aka TV.
 
Nakutunuku Udaktari Wa Heshima, kuanzia sasa utaitwa Dr. Mshana Jr.
Mkuu; kwa kuwa anafundisha (ni Mwalimu)na ameandika Maandiko mengi sana, mm napendekeza umtunuku Uprofesa. Hivyo aitwe Prof. Mshana Jr. Unaonaje mkuu? Huyu jamaa anayo madini sana - Nimemkubali. Usisahau kutujuza tarehe ya Inauguration pls.
 
Hahahahaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534]
 
Mdau toka Sumbawanga
Bro unatuchanganya sasa,ulituonyesha kabisa location ukiwa Kitonga usiku mkubwa ukasema unaenda kuyachoma,now unasema ulimpa mdau wa Sumbawanga.Kipi ni kipi boss mla makande wa kipare?!
 
Sumbawanga.Kipi ni kipi boss mla makande wa kipare?![emoji3064]Duh
Kuna vya kuchoma
Kuna vya kugawa
Kuna vya kuzika
Kuna vya kutupa
Na kila kimoja kina location yake...kuangamiza kilinge sio kazi ya siku moja ni mchakato wenye kuhitaji umakini na tajadhari za juu mno
 
Shukrani kwa ufafanuzi ndugu mstaafu
nb.utani ule wa 'Upare" usikukwaze,we ni mtani wangu kaka
 
Mkuu; kwa kuwa anafundisha (ni Mwalimu)na ameandika Maandiko mengi sana, mm napendekeza umtunuku Uprofesa. Hivyo aitwe Prof. Mshana Jr. Unaonaje mkuu? Huyu jamaa anayo madini sana - Nimemkubali. Usisahau kutujuza tarehe ya Inauguration pls.
Naunga mkono hoja za jopo la ma profesa, pendekezo limepitishwa. [emoji1534]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…