Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie
Mhhhh,
 
[emoji848][emoji848][emoji848] hii sikuijua zaidi ya kuogea. Naomba unisaidie kujua jambo moja bro.

Niliweka vibonge vya chumvi ya mawe kwenye eneo la kazi, lakini baada ya siku chache nikakuta imeyeyuka na kuwa majimaji mazito. Ni kawaida au kuna ziada? Tafadhali nijibu hili nakuomba[emoji21][emoji21]
 
Nina mtu asiejulikana ananikalia kooni kuhusu kipato,nikiomba pesa Benki inachelewa kutoka naishia kupishana na fulsa,nikifanaya kazi na vibarua mashamba hela inakata ghafla naanza migogoro na vijana wa kazi,kazini jina limechafuka viongozi lazima walikate kwenye mambo ya pesa ,masangoma wanagonga mkwanja na kutotatua tatizo.Ni shida ya miaka kibao,naenda taratibu mno kimaendeleo mpaka nijishtukia.
Illumint niliishia kupata taperi na sio OG,nayumba sababu nina mtizamo wa kufanikisha lakini mapepo tele.
Illumint niliishia kupata taperi na sio OG..[emoji848][emoji848]Illuminant ni kaliba ya juu sana hata siku moja haidili na fukara wa viwango vyetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848] hii sikuijua zaidi ya kuogea. Naomba unisaidie kujua jambo moja bro.

Niliweka vibonge vya chumvi ya mawe kwenye eneo la kazi, lakini baada ya siku chache nikakuta imeyeyuka na kuwa majimaji mazito. Ni kawaida au kuna ziada? Tafadhali nijibu hili nakuomba[emoji21][emoji21]
Wala hakuna shida yoyote.. Chumvi ukiimwaga popote huendelea kuyeyuka taratibu mpaka ipotee kabisa lakini nguvu yake hubaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848] hii sikuijua zaidi ya kuogea. Naomba unisaidie kujua jambo moja bro.

Niliweka vibonge vya chumvi ya mawe kwenye eneo la kazi, lakini baada ya siku chache nikakuta imeyeyuka na kuwa majimaji mazito. Ni kawaida au kuna ziada? Tafadhali nijibu hili nakuomba[emoji21][emoji21]
Shida hiyo,kuwa hawaingilik8
 
1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie
Kutumia chumvi siyo shiriki mkuu?
 
1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie

Hatua za kuwa mshirikina (combine ya uchawi, uganga, ulozi, kuwanga, kuroga na kuwanga)...! Haya yote ndio yanatengeneza neno USHIRIKINA!

Hatua ya chini kabisa ni kuweza kupaa na ungo na kuingia kwenye majumba ya watu na kuwachezea... Katika hatua hii pia kuna masomo mengine kama chuma ulete, kuchukua kitu cha mtu mbele yake bila mwenyewe kukuona, kupiga zongo nk

Hatua ya pili ni uwezo wa kujigeuza maumbile, kuvaa sura ya mtu mwingine au kujigeuza kuwa mnyama... Na hii mara nyingi hufanyika bila hata kiza kuingia

Hatua ya tatu ni uwezo wa kufika mbali kwa kitendo cha kufumba na kufumbua macho, kumvuta mtu umtakaye aje mbele yako na uwezo wa kuua ukiwa mbali

Kwahiyo kati ya wanga wanaowasumbueni usiku wengine ni wpagazi wa kutumwa vitu mbalimbali kama kucha, nywele, nguo, kuchanja chale, kwenda kuchukua wafu mahospitalini ama kukusanya damu na nyama maeneo ya ajali ambapo mara nyingi ndio wao wanakuwa wamezisababisha ama aliyewatuma

Wale washirikina makonki wa madaraja ya juu huwa hawajihangaishi kutoka kwenda kutafuta chochote hata kana wana huo uwezo bali huwatumia vijana wanaowafundisha kazi ama wasaidizi wao kwa hiari!

Je na hawa watumwa ni akina nani? Watumwa wa kishirikina namaanisha! Hawa ni watu walioko huko si kwa ridhaa yao bali kwa matendo ya binadamu wengine na wengi wao huwa kiasili ni misukule.. Hawa hutokana na Kukosana na 'wazee wa busara kisha wakakukomoa.

Ugomvi wa familia au ndugu
Kugombea mirathi ama mali
Vyeo na nafasi kazini
Umaarufu na utajiri pia

Kuna namna tatu ya kupata watumwa
1. Kumtia mtu wendawazimu/ kumfanya chizi
2. Kumpoteza asionekane tena
3. Kumchukua msukule/ kumuua kishikirina hasa hasa kupitia ajali

Ushirikina ni sayansi ya ajabu kabisa na iko deep sana...!
Unaenda kumfanyizia mtu kwa mganga kwa nia yoyote ile.. Ukifika unapewa karai lenye maji kisha anaitishwa pale nawe unamuona live kabisa sura yake.. Kisha unapewa kisu umchome! Ukishafanya hivyo tu maji yote kwenye karai yanageuka damu na huko aliko mhusika anapata ajali yoyote na kufa!

Kwanini kuchoma uso? Sio popote bali unatakiwa kuchoma sehemu ya koromeo...
Kwanini huchomi sehemu nyingine za mwili? Inawezekana kabisa ila kama hutaki afe bali apate tu ajali mbaya .. Hapo ataumia zaidi sehemu husika

Magonjwa je?
Washirikina mara nyingi hawatumii magonjwa kwakuwa unaweza kupata tiba na kupona...lakini akikukamia ili akutese muda mrefu anakupiga na maradhi ambayo utamaliza hospital zote bila tatizo kuonekana

Dawa na kinga kwa washirikina ni hizi mbili zisizo na madhara ya baadae
1. Maombi na dua.. Usiache kufanya maombi wala dua kwa kila ufanyacho iwe chakula, iwe kinywaji, iwe ukitoka ndani, iwe ukipanda chombo cha usafiri, iwe ukiingia ofisini, iwe ukiingia nyumbani nknk
2. Tumia chumvi ya mabonge kadiri uwezavyo..itangulize popote unapotaka kwenda au chochote unachotaka kufanya na ukiweza inenee au nuia..!!!
Ulimwengu usioonekana una mengi mabaya na washirikina ni sehemu yao!

Laleni salama! Na Mungu awalinde na kuwapigania...!!!
Witchdoctor mstaafu.

Blessd
 
Tokomile ni ngoma ya aina gani?
 
Back
Top Bottom