Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.
Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.
Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.
www.investopedia.com
In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
www.investopedia.com
Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.
What Is Gross Domestic Product (GDP)?
Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.
Gross Domestic Product (GDP) Formula and How to Use It
Gross domestic product is the monetary value of all finished goods and services made within a country during a specific period.
What Is an Economic Growth Rate?
An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
Economic Growth Rate: Definition, Formula, and Example
An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period.