joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Huna akili wewe, nenda Kibera ulale.Hawa ndio baadhi ya watu ambao, kupitia michango yao ya kujaza pumba humu daily, wameshusha kabisa hadhi ya jukwaa hili. Zamani hili jukwaa lilikuwa la great thinkers kweli, mijadala humu ilikuwa inapamba moto na ya kuchangamsha na ya kushirikisha ubongo.
Hizi aibu zote zimeletwa na upumbavu wa sampuli yake ya aina hii; Kenya inapokea 'remmitances' nyingi zaidi ya nchi yeyote nyingine ukanda huu. Kwahivyo 'remmitances' automatically kwa akili zao inakuwa ni kitu kibovu mno.
Kumaanisha hilo jambo moja litafunguliwa nyuzi kama ishirini za kuliponda. Kwa kutumia akili finyu, kama hizi ambazo mstakiwa huyu anaziendeleza wazi. Alafu eti mwisho wa siku wataishia kujipiga vifua wakisema kwamba nchi A au B ina afueni zaidi ya Kenya, kwasababu inapokea remittances kidogo sana. Some low IQ sh*t ambao huwa sina muda nao.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app