Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

Jombaa, vipi kuhusu GDP iki 'shrink', kama wanavosema kwa kimombo? Kwa mfano kama huo mwaka wa 2021 GDP ya Kenya ingekuwa ni $91B kutoka kwa $99B mwaka wa 2020.

Unataka kusema itamaanisha kwamba kwa mwaka huo wote wa 2021 uzalishaji na shughuli zote zingine za kiuchumi zitakuwa zilisimama kabisa? Kwasababu hapo GDP growth rate ni negative, kila sekta itakuwa iliingiza 0$ kwenye uchumi? Kuweni na mazoea ya kushirikisha ubongo buana na kutulia ile mjifunze mapya, ujuaji mwingi sio sifa.
Wow! hapo enyewe umewapata. That is a nice way of thinking about it. 👏
 
Hivi vitu huwa vinafanywa kisayansi. Sasa jombaa umejaribu kuwaelimisha, ila bado wanang'ang'ania tu wakati hata hawawezi wakadhibitisha uhalisia wa wanachokizungumza. Inabidi ujishushe kwenye level yao, ndio uweze kuwadadavulia kwa urahisi, ili mwishowe wajijazie pengo wao wenyewe.
 
Siku nyingine utumie akili wacha kufananisha vitu usivyo vijua...kwaiyo mshahara ni sawa na GDP...kwa iyo uharo uliyo nayo kichwan?kalale km hujui kitu
Husaidiki boss. I wonder why I wasted my time responding to a mad man.🤣🤣🤣

Tangu Leo nakuita Balance Brought Forward🤣🤣🤣
 
Unatakiw kuelew kabla kujua uchumi wa nchi flan umekuwa kwa % ngap, kwanza huwa kuna prediction inayo tokan n ukuaji wa last year...ikitokea expectation haija fikiwa au imefikia hapo ndio utaona comments za mashirik km imf na Wb
Nimelitaja hilo suala la negative growth hapo juu na ndio lilikuwa 'basis' ya swali langu, ambalo umelikwepa kama mtaalamu, wa longolongo. [emoji1]
Alafu usiwe km mtot, ili uchumi uwe kwenye negative jua lazima kuna factors zitakazo lazimisha uchumi kushuk, mfano kushuk bei za mafuta soko la dunia(supply exced demand) hapo itapelekea uchumi za nchi zinazo zalisha mafut kushuk, na hii iko more effective kweny nchi zinazo tegemea sector moja km sorce na nyingine kuwa minnar sectors ( pre mature)
 
Sio lazima kushuka kwa uchumi imanishe uzalishaji ulikuw 0% kwa wakati husika
Jombaa, vipi kuhusu GDP iki 'shrink', kama wanavosema kwa kimombo? Kwa mfano kama huo mwaka wa 2021 GDP ya Kenya ingekuwa ni $91B kutoka kwa $99B mwaka wa 2020.

Unataka kusema itamaanisha kwamba kwa mwaka huo wote wa 2021 uzalishaji na shughuli zote zingine za kiuchumi zitakuwa zilisimama kabisa? Kwasababu hapo GDP growth rate ni negative, kila sekta itakuwa iliingiza 0$ kwenye uchumi? Kuweni na mazoea ya kushirikisha ubongo buana na kutulia ile mjifunze mapya, ujuaji mwingi sio sifa.
Chukulia km mfano... nchi A wana tegemea Utali, madini, kilimo,provision of goods and services, Utali ukiwa kma main sector kwenye mchango wa GDP wakati sectors nyingine ni minners, ikitokea sector ya utali imeshuka to neg hata km minnar zita zalisha vyema usishangae growth rate ya GDP ikawa neg kutokana na prediction na achievement
 
Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.

View attachment 2194797

Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.

View attachment 2194811

What Is Gross Domestic Product (GDP)?​

Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.

Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.

What Is an Economic Growth Rate?​

An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.

In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
Acha ujinga, kwani Kunyans wote wanajua?

By the way unge msite mhusika sio kufanya false generalisation pimbi wewe.
 
Unatakiw kuelew kabla kujua uchumi wa nchi flan umekuwa kwa % ngap, kwanza huwa kuna prediction inayo tokan n ukuaji wa last year...ikitokea expectation haija fikiwa au imefikia hapo ndio utaona comments za mashirik km imf na WbAlafu usiwe km mtot, ili uchumi uwe kwenye negative jua lazima kuna factors zitakazo lazimisha uchumi kushuk, mfano kushuk bei za mafuta soko la dunia(supply exced demand) hapo itapelekea uchumi za nchi zinazo zalisha mafut kushuk, na hii iko more effective kweny nchi zinazo tegemea sector moja km sorce na nyingine kuwa minnar sectors ( pre mature)
Hujielewi.
 
Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.

View attachment 2194797

Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.

View attachment 2194811

What Is Gross Domestic Product (GDP)?​

Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.

Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.

What Is an Economic Growth Rate?​

An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.

In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
Wait what did I just read🤔🤔 Now I'm beginning to think there are kids in this forum. A grown up cannot surely think like that😞😞
 
GDP growth rate mtu hajui kivipi?haya mambo yamekua yakijadiliwa sana labda kama anapima watu imani...basic knowledge rate inahusiana na % kukua ama kusinyaa kwa uchumi...ndio maana 5% gdp growth rate ya Tz haiwezi toa same amount na 5% ya ke considering the fact that Ke wanaGdp kubwa kuzidi yetu.
 
Asante sana. Natumai joto la jiwe atakusikiliza.
 
Uko na mafikra ya hali ya juu..wewe unaeza leta mabadiliko kwenye nchi...kweli hivi wewe ni Mtz ...
 
Asante sana. Natumai joto la jiwe atakusikiliza.
Wacha upuuzi wako, nenda katika ripoti za WB ambazo zinap
onyesha "graphs" za GDP za Nchi mbalimbali na uangalie ya Kenya au Tanzania kwa miaka mitatu inayofuatana, yaani kwa mfano 2010, 2011, 2012

Tazama na growth rates za hiyo miaka, utagundua yafuataya
1) GDP ya 2011= GDP ya 2010 +growth rate ya 2011

2)GDP ya 2012 = GDP ya 2011+growth rate ya 2012

Tafadhali angalia kisha unipe majibu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom