nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
punguza povuOna sasa? ungefyata tu, yaani wewe ni boya wa maboya from Tanzania 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza povuOna sasa? ungefyata tu, yaani wewe ni boya wa maboya from Tanzania 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Leo nimegundua kumbe you are an uneducated, low IQ, uninformed person. Huwa napoteza muda nikibishana na wewe. I am going to reduce my engagement with you from now henceforth. 🚮🚮🚮Wanakucheka Sana hivi Sasa, Sasa ninaelewa kwanini Kenya kila kitu kinakwenda hovyo, Kama wewe ni msomi na degree yako ya uchumi lakini hujui jinsi ya kukokotoa GDP, Kenya mpo na shida sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unajua hii mambo ya IT huwa sina mazoea nayo. Lakini hii yangu ni lazyness tu. Thanks for the advice. I will do that.Hehehehe huyo king'ang'anizi nilishampuuza kitambo maana huwa haelimiki, utaishia kumtusi uliwe ban bure.
Hivi Tony254 nikiweka pembeni maudhui ya huu uzi, hiyo screenshot yako jameni hizo tabs zote unafanyaje kazi. Jaribu kutumia extension ya Chromes tabs management, au hata uwe unafungua instances za browsers kadhaa kila moja na tabs zake, unazigawa kulingana na shughuli.
Wewe Anza kuweka evidence kuonyesha kwamba hivyo unavyosema ndio sawa.Leta evidence kwamba hivi ndivyo gdp inavyokuwa calculated. Leta source yoyote ambayo unayo. Usidhani watu ni wajinga huku.
Wewe huna akili, watu wengi hapa wamekupuuza, hata wewe mwenyewe umestukia siku hizi kwamba watu wanakudharau Sana.Hehehehe huyo king'ang'anizi nilishampuuza kitambo maana huwa haelimiki, utaishia kumtusi uliwe ban bure.
Hivi Tony254 nikiweka pembeni maudhui ya huu uzi, hiyo screenshot yako jameni hizo tabs zote unafanyaje kazi. Jaribu kutumia extension ya Chromes tabs management, au hata uwe unafungua instances za browsers kadhaa kila moja na tabs zake, unazigawa kulingana na shughuli.
Hivi wewe kwa kichwa yako mbovu unaweza kumuelinisha mtu kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo anayeelimishwa hayupo, maana utakuta mtu king'ang'anizi ameshikilia huo ujinga na humwambii kitu, aidha uamue umpuuze kabisa au umvunjie heshima uchezee kibano cha mods.
Asante for the advice. Nimepata google tab extension inyoitwa One tab na imefreeze hizo tabs zingine zote na inafungua moja at a time na inasave computer memory. Unajua mimi huwa siwezi kujizuia kufungua tabs kama hamsini hivi kwenye laptop yangu. Lakini hii tab extension itafanya kazi yangu iwe rahisi. Unaona sasa mambo yanakaa sawa. Nina tab moja open tu.Hehehehe huyo king'ang'anizi nilishampuuza kitambo maana huwa haelimiki, utaishia kumtusi uliwe ban bure.
Hivi Tony254 nikiweka pembeni maudhui ya huu uzi, hiyo screenshot yako jameni hizo tabs zote unafanyaje kazi. Jaribu kutumia extension ya Chromes tabs management, au hata uwe unafungua instances za browsers kadhaa kila moja na tabs zake, unazigawa kulingana na shughuli.
Najua ndugu kwamba Kuna watu wa aina hiyo....sisi ili kulinda heshima yako na thamani ya elimu yako huna budi kumpuuza baada juhudi za kumuelimisha kugonga mwamba....... maneno mabaya yasiyo staha yanaleta taswira mbaya kwa aliyejibu kuliko hata kwa aliyetupiwa..Tatizo anayeelimishwa hayupo, maana utakuta mtu king'ang'anizi ameshikilia huo ujinga na humwambii kitu, aidha uamue umpuuze kabisa au umvunjie heshima uchezee kibano cha mods.
Lakini lazima mkumbuke mabishano ya watu werevu kama nyinyi ni fursa kwa kina sisi kutoka ujingani.......mmWewe ndio humuelewi huyu mtu. Huyu jamaa ni kichwa ngumu. Kumuelewesha haiwezekani kwa maana anajiona genius. Hafundishiki. Kinachobaki ni kumuanika wazi kila mtu aone alivyo zero kichwani.
Hehehe hata ungenyamaza tu🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji54][emoji23][emoji23][emoji54][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzako wanakucheka kichinichini.
Kwa hiyo ukisikia kwamba utajiri wa Bill Gate ni $100B, kichwa yako iliyojaa matope ya chang'aa inakuambia kwamba Bill Gate kila mwaka anatengeneza $100B sio?, Hiyo maana yake baada ya miaka miwili jumla ya utajiri wake ni $200B sio?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sina uwezo wa kufuta huu uzi. Mods pekee ndio wanaoweza kuja kukusaidia kwa kufuta huu uzi ili kukuondolea aibu inayokupata. Halafu wewe ndio umetoa madai sasa jukumu ni lako kuonyesha kwamba madai yako ni ya kweli.Wewe Anza kuweka evidence kuonyesha kwamba hivyo unavyosema ndio sawa.
Lengo la wewe kufungua huu Uzi ni kutaka watu wachangie, wacha uone jinsi watu watakavyochangia, usifute huu Uzi yafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Waaah!!! The most disturbing part is that kuna watu wamelike hii post, meaning they subscribe to this kind of reasoningMimi sikufika chuo kikuu Kama wewe, lakini ngoja nikuonyeshe jinsi Elimu yenu huko Kenya ilivyo hovyo.
GDP ya nchi ya Sasa ya Kenya, ni mkusanyiko wa thamani wa huduma na bidhaa zilizozalishwa toka walipoanza kuweka taarifa za uchumi wa Kenya enzi za ukoloni.
Formulae inayotumika kujua GDP ya mwaka husika ni
GDP (current GDP)+ GDP growth rate
= New GDP
Kwa mfano
Kenya GDP ya mwaka Jana 2021(current GDP) ni $100B, na uchumi wenu mwaka huu 2022 unaongezeka kwa 5%(GDP growth rate), new GDP of 2022 ni
$100B(current GDP, 2021) + $5B(GDP growth rate of 2022 which is 5%)= $105B(New GDP 2022
Hiyo maana yake ni kwamba, kwa mwaka wa 2022, uchumi wa Kenya umeongezeka kwa $5B tu, sio kwamba umeongezeka kwa $105B, Kati ya $105B, kiasi cha $100B ni "Balance brought forward".
Umeelewa?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ndiye uliyeka huu Uzi na kunishutumu kwamba sijui tofauti ya GDP na GDP growth rate and how they ralate, tafadhali weka ushahidi kuthibitisha Mimi sijui[emoji1][emoji1]Sina uwezo wa kufuta huu uzi. Mods pekee ndio wanaoweza kuja kukusaidia kwa kufuta huu uzi ili kukuondolea aibu inayokupata. Halafu wewe ndio umetoa madai sasa jukumu ni lako kuonyesha kwamba madai yako ni ya kweli.
Ushahidi ndio huu hapa. Umeandika 💩💩💩 💩 💩 👇 👇Wewe ndiye uliyeka huu Uzi na kunishutumu kwamba sijui tofauti ya GDP na GDP growth rate and how they ralate, tafadhali weka ushahidi kuthibitisha Mimi sijui![]()
![]()
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi sikufika chuo kikuu Kama wewe, lakini ngoja nikuonyeshe jinsi Elimu yenu huko Kenya ilivyo hovyo.
GDP ya nchi ya Sasa ya Kenya, ni mkusanyiko wa thamani wa huduma na bidhaa zilizozalishwa toka walipoanza kuweka taarifa za uchumi wa Kenya enzi za ukoloni.
Formulae inayotumika kujua GDP ya mwaka husika ni
GDP (current GDP)+ GDP growth rate
= New GDP
Kwa mfano
Kenya GDP ya mwaka Jana 2021(current GDP) ni $100B, na uchumi wenu mwaka huu 2022 unaongezeka kwa 5%(GDP growth rate), new GDP of 2022 ni
$100B(current GDP, 2021) + $5B(GDP growth rate of 2022 which is 5%)= $105B(New GDP 2022
Hiyo maana yake ni kwamba, kwa mwaka wa 2022, uchumi wa Kenya umeongezeka kwa $5B tu, sio kwamba umeongezeka kwa $105B, Kati ya $105B, kiasi cha $100B ni "Balance brought forward".
Umeelewa?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wanakucheka Sana hivi Sasa, Sasa ninaelewa kwanini Kenya kila kitu kinakwenda hovyo, Kama wewe ni msomi na degree yako ya uchumi lakini hujui jinsi ya kukokotoa GDP, Kenya mpo na shida sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kumbe ndio sababu haelewi lolote kuhusu GDP, hapa anaona mapichapicha tu, kumbe ninapoteza nguvu Bure kuzungumzia na vihiyo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyu NairobiWalker siyo mchumi, ni mfundi mjenzi au bricks and mortor engineer. Hayo mambo ya GDP hayawezi.
Nina uhakika by 100% kwamba hivi ndivyo GDP inavyokuwa "derived" prove me wrong with Evidence, usikimbie[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ushahidi ndio huu hapa. Umeandika [emoji90][emoji90][emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji116] [emoji116]