Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

Yaani hata hujui kwamba "Exports za Nchi zikipungua zinasababisha "Negative GDP growth?,

Wewe sasa umeanza ujinga sasa. Hii ni nini umeandika hapa?👆👆
 
Yaani hata hujui kwamba "Exports za Nchi zikipungua zinasababisha "Negative GDP growth?,

Wewe sasa umeanza ujinga sasa. Hii ni nini umeandika hapa?[emoji115][emoji115]
Soma post yako #91 hapo juu unakataa kwamba 'Exports zikiwa chache kuliko imports" hazisababishi 'Negative growth rate badala unasema zinasababisha "trade deficit tu"

Sasa nimekuwekea huu ushahidi unaanza kuruka

Weka hapa hiyo post yako #91 na ujieleze ulikua una maana gani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hamna cha kuchanganyikiwa, kuchanganyisha wala nini. Huyu jamaa ni boya flani tu, ambaye hata hajui anazungumzia nini. Elimu duni inafaa kutangazwa rasmi kama janga la kitaifa kwa hawa majirani, kama hii ndio sampuli yao ya watu walioelimika.
Jibuni hizo hoja za hizo videos nilizoziweka, mumeacha kujibu hoja badala yake mnaanza kufanya "personal attacks," huko msijaribu kwenda, Mimi nina PhD ya "Personal attack"
Jibuni hizi hoja

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hatugombani jinsi ya kucalculate gdp growth rate tunagombana jinsi ya kucalculate gdp. Sasa leta formula ya kucalculate gdp.
Sasa umeelewa kwamba GDP ya mwaka huu, ni matokeo ya GDP ya mwaka uliopita na kile kilichozalishwa mwaka huu.

GDP ni sawa na Ujenzi wa Nyumba, yaani pale ulipoishia kujenga Jana, ndipo unaongezea tofali Leo.

Kama Nchi imetumia $4B kujenga reli, hiyo pesa itahesabika ni sehemu ya utajiri wa nchi kwa kipindi chote cha uhai wa hiyo reli, kila mwaka hiyo $4B itahesabika kwamba ni sehemu ya GDP ya "Previous year"


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Export ikipungua sio lazima icause negative economic growth rate. Sawa mzee? Natumai tumeelewana. Prove me wrong nitoke JF. Prove to me leo kwamba export ikipingua ni lazima icause negative economic growth. Inaweza kufanyika lakini sio lazima.
 
Hio ni uongo. Gdp hatuicalculate hivyo. Nimekuambia ulete evidence ya jinsi gdp inakuwa calculated. Ikiwa umeshindwa sema mimi pia naweza kuleta. Lakini ningependa wewe ulete ndio nikufunze kupitia video au article utakayoleta.
 
Kumbe na wewe hukuelewa kuwa hakuna kitu kinaitwa GDP growth rate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…