Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

Hahahaha, Sasa Kama Form four failure ya Tanzania inawafundisha *First class degree holders" wa Kenya, huko kwenu University mnafundishwa nini zaidi ya ukabila?

Yaani hata hujui kwamba "Exports za Nchi zikipungua zinasababisha "Negative GDP growth?, Yaani inashindwa kujua jinsi 'trade deficit" inavyoathiri GDP ya nchi, kweli Tony254 unajidhalilisha Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yaani hata hujui kwamba "Exports za Nchi zikipungua zinasababisha "Negative GDP growth?,

Wewe sasa umeanza ujinga sasa. Hii ni nini umeandika hapa?👆👆
 
Yaani hata hujui kwamba "Exports za Nchi zikipungua zinasababisha "Negative GDP growth?,

Wewe sasa umeanza ujinga sasa. Hii ni nini umeandika hapa?[emoji115][emoji115]
Soma post yako #91 hapo juu unakataa kwamba 'Exports zikiwa chache kuliko imports" hazisababishi 'Negative growth rate badala unasema zinasababisha "trade deficit tu"

Sasa nimekuwekea huu ushahidi unaanza kuruka


Weka hapa hiyo post yako #91 na ujieleze ulikua una maana gani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hamna cha kuchanganyikiwa, kuchanganyisha wala nini. Huyu jamaa ni boya flani tu, ambaye hata hajui anazungumzia nini. Elimu duni inafaa kutangazwa rasmi kama janga la kitaifa kwa hawa majirani, kama hii ndio sampuli yao ya watu walioelimika.
Jibuni hizo hoja za hizo videos nilizoziweka, mumeacha kujibu hoja badala yake mnaanza kufanya "personal attacks," huko msijaribu kwenda, Mimi nina PhD ya "Personal attack"
Jibuni hizi hoja


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hatugombani jinsi ya kucalculate gdp growth rate tunagombana jinsi ya kucalculate gdp. Sasa leta formula ya kucalculate gdp.
Sasa umeelewa kwamba GDP ya mwaka huu, ni matokeo ya GDP ya mwaka uliopita na kile kilichozalishwa mwaka huu.

GDP ni sawa na Ujenzi wa Nyumba, yaani pale ulipoishia kujenga Jana, ndipo unaongezea tofali Leo.

Kama Nchi imetumia $4B kujenga reli, hiyo pesa itahesabika ni sehemu ya utajiri wa nchi kwa kipindi chote cha uhai wa hiyo reli, kila mwaka hiyo $4B itahesabika kwamba ni sehemu ya GDP ya "Previous year"


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Soma post yako #91 hapo juu unakataa kwamba 'Exports zikiwa chache kuliko imports" hazisababishi 'Negative growth rate badala unasema zinasababisha "trade deficit tu"

Sasa nimekuwekea huu ushahidi unaanza kuruka


Weka hapa hiyo post yako #91 na ujieleze ulikua una maana gani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Export ikipungua sio lazima icause negative economic growth rate. Sawa mzee? Natumai tumeelewana. Prove me wrong nitoke JF. Prove to me leo kwamba export ikipingua ni lazima icause negative economic growth. Inaweza kufanyika lakini sio lazima.
 
Sasa umeelewa kwamba GDP ya mwaka huu, ni matokeo ya GDP ya mwaka uliopita na like kilichozalishwa mwaka huu.

GDP ni sawa na Ujenzi wa Nyumba, yaani pale ulipoishia kujenga Jana, ndipo unaongezea tofali Leo.

Kama Nchi imetumi $4B kujenga reli, hiyo pesa itahesabika ni sehemu ya utajiri wa nchi kwa kipindi chote cha uhai wa hiyo reli, kila mwaka hiyo $4B itahesabika kwamba ni sehemu ya GDP ya "Previous year"


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hio ni uongo. Gdp hatuicalculate hivyo. Nimekuambia ulete evidence ya jinsi gdp inakuwa calculated. Ikiwa umeshindwa sema mimi pia naweza kuleta. Lakini ningependa wewe ulete ndio nikufunze kupitia video au article utakayoleta.
 
Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.

View attachment 2194797

Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.

View attachment 2194811

What Is Gross Domestic Product (GDP)?​

Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.

Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.


What Is an Economic Growth Rate?​

An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.



In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
Kumbe na wewe hukuelewa kuwa hakuna kitu kinaitwa GDP growth rate
 
Back
Top Bottom