Afadhali sasa, hali ile ilitisha kila agizo lilikua ni sheria na ndiyo Katiba. Tulikua tunaelekea kubaya sana. Leo ukienda posta hakuna utaratibu vibanda vimetapakaa kila mahali, na kwa sabau ya uholela, ilidhaniwa ndiyo utaratibu sahihi wa kuendesha nchi, kiuhalisia tulikosa ustaarab, na nafikiri itatumika nguvu kubwa kuweza kuwashawishi wamachinga ili waelewe kuwa hawakua sahihi, kila watakachoambiwa wataona wanaonewa, kumbe ni utaratibu mbovu tu. So kila awam na mambo yake ambayo yanakera.Turudie mara ngapi? Ni Dhaifu!!!!!!!, tumerudi enzi za Msioga za Mr. Dhaifu!
Wamemfanyiaaa mbayaaaaMimi ni kijana nimesoma na kulingana na ugumu wa ajila nikaona fursa ipo kwenye ujasiriamali nikajiajili na kuajili vijana wenzangu pia ili kusogeza Maisha na kujipatia Ugali wa kila siku. Maamuzi yangu ya kuamua kusimama na Diamond PlatnumZ haikua kwaajili ya vita bali Utanzania.
Kijana amusha legea huko twitter.
Upuuzi kama wa kumkamata mtekaji ole sabaya? 😅😅😅Hembu soma hiyoo hicho ndio namaanisha maana wewe umeisha kula na huna.usingizi. utanifanya nichoke maana huelewi ninacjo maanisha kuyumbishwa kwa serikali na kundi la wtu wa mitandaoni kwa baadhi ya mambo ambayo ni ya kipuuzi.
Sasa kwa akili yako unadhani huyo dogo kaitwa tbs kwa agizo la raisi?Tatizo kuna mengine ni husuda na chuki lakini.hayana maana nimekupa swala mpambazi mpaka kaitwa tbs !!
Sijui unaelewaa nacho kimaanisha au hutak tu kuelewa ili tubishane
Una kichwa kigumuna umeanza kuelewa TBS waliomkamata ni kwa sababu samia anawapa priority hio timu sana kiasi kwamba kumuita mpambazi haikuwa na maana yoyote .Sasa mkuu aliyemkamata jamaa ni SSH au TBS wazee wa kukurupuka kama Dr. mwaka alivyokurupuka akaenda mfungia Dr. mwaka kisa mangekimambi ana bifu zake na diamond.
Kigogo ana movement zake flani nyingine hata mimi sizikubali, ila mleta mada siyo kweli kwamba SSH nafuata kigogo anachosema.
Angekuwa anafuata basi Biswalo asingekuwa judge, Manji asingekuwa kakamatwa na takukuru, Happy asingekuwa mbunhe, Dotto asingekuwa serikalini, tungekuwa na baraza jipya la mawaziri
Walaaa sio.sabaya hlf watu wa jf msikalili.majibu.muwe mnaelewa content ya mtu maana majibu yamekua sabaya, sukuma gang na mataga hamfikilii.tofauti.tenaUmejitahid mwenyewe eenh? Una uchungu wa sabaya nini?
Hapana sio hivyo soma tena ueleweeeUpuuzi kama wa kumkamata mtekaji ole sabaya? [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo panya akivamiankwako unahama, ila ukijenga urafiki mar ndio unabaki? 😁Mi sina shida, nafurahia rais wangu anachofanya, na ndio kwanza ana miezi 3 katika miaka 10 iliyobaki
Kwahiyo ujinga umeisha?Úlikuwa mjinga sana enzi babako yupo hai.
Kama ukaguzi wa masoko!Kama yepi
Ohhh basi inaandikwa KUPORWA! NI R SIO l☺Kuibiwa kwa nguvu
Umeelewa swali ?Kama ukaguzi wa masoko!
Hahahahhahahaha! Nan anataka mamirathi dogo? Faiti upate zako ...mpk leo mnalia lia tu wanaume wazima .shame on u!..Yatima baba yako na mama yako ! Huenda wewe ni yatima au ulikosa mirathi mbona unahasira hivyo.
Huyo muuza sabuni ni mpumbavu. Diamond hawezi kurisk biashara yake kwasababu ya mtu mwingine na ndio maana anajipendekeza kwa kila mwenye madaraka na pesa.Una kichwa kigumuna umeanza kuelewa TBS waliomkamata ni kwa sababu samia anawapa priority hio timu sana kiasi kwamba kumuita mpambazi haikuwa na maana yoyote .
Na alie sababisha hayo yote ni kigogo 2014 kwa sababu mpambazi alikua ana mtetea diamond platnumz kama hujui na uelewe kwamba unabisha lakini hujui kinacho endelea toka.juzi.
Yule Champ Soap kunani tenaHuyo muuza sabuni ni mpumbavu. Diamond hawezi kurisk biashara yake kwasababu ya mtu mwingine na ndio maana anajipendekeza kwa kila mwenye madaraka na pesa.
Haya sasa huyo muuza sabuni yeye kaumiza biashara yake kwa kujipendekeza kwa mtu ambaye hata hamjui.
Na watu wengi wanauliza mbona tangu dhalim afyekelewe mbali na Corona matukio ya watu kutekwa na kubambikiwa kesi yamepotea kabisa?Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu.
Kwa wasiojua vizuri wameenda mbali zaidi na kudai eti kwa sasa siri za Ikulu zimethibitiwa na uongozi mpya!
Napenda niwasaidie kwa kuwaambia kuwa hakuna siri za Ikulu zilizothibitiwa ila wale waliokuwa wanatoa siri za Ikulu na kuzipeleka kwa ''bwana yule'' kwa sasa ndio hawa ambao wako madarakani. Kwa maana nyingine, kwa sasa ndio walioshika Ikulu/utawala moja kwa moja. Yaani sio tena watoa ushauri bali kwa sasa ni wabunifu na wasimamia utekelezaji.
Biashara yao na ''bwana yule'' ya kumpa siri za Ikulu iliisha siku ambayo Rais Samia aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania!
Haishangazi kuona kwa sasa ''bwana yule'' anawashambulia sana baadhi ya wale waliokuwa wanampa siri za Ikulu baada ya kugundua hawataki tena mahusiano naye. Yaani kwa sasa wamemalizana naye!
Nasikia kwa sasa wale wale waliokuwa wanampatia siri za Ikulu wana mpango wa ''kumnyamazisha'' ili huko mbeleni asije akatumia umaarufu waliomuwezesha wao wenyewe kuichafua serikali yao. Kibaya zaidi, wanamjua vizuri kwa maana kuwa, wanazijua nguvu zake na udhaifu wake(strengh and weakness) kwa sababu ndio walimuwezesha kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii. Hata kupata kitambulisho cha ''blue tick'' ilikuwa ni jitihada za baadhi ya wale waliokuwa wanampatia siri za Ikulu.
Baada ya kukosa ushirikiano kwa sasa ''bwana yule'' anafanya jitihada za kuwa karibu na wenyeCHADEMA ili apate uungwaji mkono kwenye mitandao! Kwa wanaofahamu historia ya ''bwana yule'' watajua kuwa huko nyuma hakuwahi kuipenda/kuishabikia CHADEMA hasa hakumpenda Mwenyekiti Mbowe na aliwahi kumshambulia sana akidai mwizi wa pesa za chama.
Huko mwanzo, ''bwana yule'' alikuwa ni mwanaCCM lakini baadaye akawa ''mwanaACT-Wazalendo'' kabla ya ujio wa Maalim Seif na kundi lake! Wakongwe wa siasa nchini wanajua kuwa ACT-Wazalendo ni ''stepping stone'' kwa wanaCCM! Kwa maana nyingine, ACT-Wazalendo ni kama fimbo ya kuchapiana wanaCCM kwa wanaCCM!
Hasira za ''kutoswa'' zinamfanya aanze ''revenge'' kwa waliomtosa kwa kutumia ''platform'' za CHADEMA.
''bwana yule'' anajua bila kupata sapoti ya wanaCHADEMA hawezi kuendelea kuwa ''relevency'' kisiasa katika dunia ya mitandao kwa sababu CHADEMA ni kundi pekee la kisiasa nchini ambalo hajapoteza uungwaji mkono.
Hoja iliyopo kwa sasa ni kujua kama ''kinyago'' walichokichonga walioko madarakani kwa sasa kitawatisha au watakiangamiza kabla hakijaanza kuleta madhara!