Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 669
Soma #362 hapo juu.Yu wapi kigogo 2014???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma #362 hapo juu.Yu wapi kigogo 2014???
Kwa sababu State criminal syndicate imekamilisha mission yake.Anamshambulia Samia sasa hivi mkuu
Mzee more updatesUfagio uliopitishwa kule kwa wale wasiojulikana umeondoka na wengi sana saa hivi wako kwenye maumivu makali huko uraiani. Mtego waliowekewa waliokuwa wanahisiwa umenasa wengi sana wakatimuliwa ndio maana unaona jamaa hapati tena za jikoni.
Naomba niishie bapo naingia kibanda umiza kwanza