Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

Mlishaambiwa mtashushwa chini muishi kama mashetani...Sijui hata mnachoshangaa nini tu??

Mukulu anatekeleza kauli yake kwa vitendo au bado hamjashtuka??
 
Ndo ivyo, mshikaji uyu aliwai kusema wanaoishi kama malaika wajiandae kuishi kama mashetani, akseh kuongea bila kusoma hotuba pia kutokuwa na akiba ya maneno inabidi uwe giant akseh??? duh naliziogopa sana hizo kauli
 
hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
 
Unaelewa maana ya udikteta mkuu???[emoji17] Mbele ya tingatinga hakuna kinachoshindikana! 🙂
 
hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
fatilia mkuu halafu urudi tena, pia katika mikopo mabenk huwa wanakata 1/3 ya mshahara
 
Twende kazi baba...Fanya yako ulale mbele waje wengine
 
Mlishaambiwa mtashushwa chini muishi kama mashetani...Sijui hata mnachoshangaa nini tu??

Mukulu anatekeleza kauli yake kwa vitendo au bado hamjashtuka??
Kwani yeye mkulu alikuwa anaishije, then and now!!?
 
Back
Top Bottom