comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Lowasa eeeh aaa, Lowasa eeeh aa kukupenda daima, kukuacha ni tabu, ooh Lowasa eeeh aaa kukupenda ni haki ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni kuleta habari za udaku na kuwapa watu presha,Mshahara unapita kwa bajeti kuu,na bajeti kuu ni sheria kwa mwaka husika,sasa hakuna uwezekano wowote wa kupeleka muswada wa kutengua bajeti ya 2016/2017 ili mishahara iliopitishwa kwenye bajeti ishukeKuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
nifatilie nn mkuu?? mbona nimekuchambula vzr sana hapa.Ni kuwa watumishi wengi wa umma zaidi ya 80% wanaishi kwa mikopo na hii inatokana na mishahara kuwa midogo isiyoendana na hali ya uchumi na uhalisia wa maisha.nimetumia mfano wa mtumishi wa umma ambaye ninamjua anayepota Tshs million kwa mwezi na amekopa benk CRDB million 70.fatilia mkuu halafu urudi tena, pia katika mikopo mabenk huwa wanakata 1/3 ya mshahara
OMG!! Kwani hii ni sawa na kazi ya kanisa? Toka lini imekuwa kazi ya kujitolea?ipunguzwe tu maana utumishi wa umma ni kazi ya kujitolea na sio kulipwa mamilioni
Acheni kulialia Mwacheni Mkulu Anyooshe Inchi.Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Madeni yako hayahusiani na uendeshaji wa serikali...wakiamua wanaweza na huwez kataahakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Kwa awamu hii Kila kitu kina we zenana mkuu...umesahau ya wakurugenz wa milion 40hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Lisemwalo lipo tujiandae kisaikolojiaNa kweli ni matetesi ya kijinga ya yasiyo na maana yeyote ile yani mtu akiona tu ana hamu ya kutukana serikali basi anakimbilia kuja kuweka umbeya hapa au akigonga mwamba kwenye harakati zake za kupitisha mzigo kinyemela bandarini bila kulipa kodi hasira anakuja kuzitolea hapa.
Kwa kweli mimi nitakosoa serikali pale inapokosea lakini siwezi kuunga mkono ujinga kama huu hata unitukane vipi.
yasemwayo mengine hayana maana ndugu.Lisemwalo lipo tujiandae kisaikolojia
mkuu nimekuelewa, sasa wale wakurugenzi wa mil45 ambao mkuu kawashusha mpaka mil15 hii sheria haiwahusu?hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Ukisikia neno dikteta we huwa unaelewa nini??hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.