Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamaanisha waziri ndio analeta poroja, wewe unaongelea Shelia, auongelei possibility ya Shelia unayoiongelea kuvunjwa, ni bora ungesema kufanya hivyo ni kinyume cha Shelia then ungeishia hapo! sasa naomba uniambie ni mamlaka gani ya kishelia aliyotumia raisi kuzuia shughuri za kisiasa mpaka 2020? Ni kwamba kila kitu kinaweza fanywa na Shelia ikawekwa pembeni.Mkuu hizo ni porojo hamna uthibitisho wwte kuwa kun watu wamefutiwa mshahara! emu naomba list ya hizo taasisi ambapo hao vigogo wamefutiwa mishahra!
ukijaribu kusoma hiyo habari kwa makini utaona imeandikwa kiudaku tu
Jf sio mahali pa mchezo mchezo wewe ulete habari halafu tena uulize aliye na taarifa atujuze??Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
hahahaha mkonge tena mkuu , tutafunga hadi uzi maana hakuna namnaMikanda haitatutosha tutarudi kwenye kujifunga Kamba za mkonge
Dah hivi kuna Watu wanapokea mishahara kuanzia milioni kumbe?Lakini kwa upande mwingine wacha wanyooshwe bana aah mtu mnaajiriwa nae mwaka mmoja, elimu sawa lakini anakupiga gepu la milioni mbili yaan yeye ana Mil3.5 wewe unabaki na Mil 1.2 kisa tu ana ukaribu au uhusiano na wakubwa
Lema kaota Ndoto tu sasa anayea Ndoo wewe sasa wadai umepata news bin news ukiizta tetesi kuwa Makini hajaribiwi bwana yuleKuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Hahaha anakuja kutuzubaishaNa kweli ni matetesi ya kijinga ya yasiyo na maana yeyote ile yani mtu akiona tu ana hamu ya kutukana serikali basi anakimbilia kuja kuweka umbeya hapa au akigonga mwamba kwenye harakati zake za kupitisha mzigo kinyemela bandarini bila kulipa kodi hasira anakuja kuzitolea hapa.
Kwa kweli mimi nitakosoa serikali pale inapokosea lakini siwezi kuunga mkono ujinga kama huu hata unitukane vipi.