Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

ipunguzwe tu maana utumishi wa umma ni kazi ya kujitolea na sio kulipwa mamilioni
We chizi kweli ujui watu wengine wanakula na kusomeshwa na mishahara hyohyo,ikipunguzwa je?we shwaini kwli ww
 
Education for service,not for white color jobs and comfortable salaries.The late,-Chinua Achebe(No Longer At Ease)
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Acheni kudanganyana mishahara haitapungua ila zile allowances za kipuuzi zitakoma
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Basi kwa uchafu huu uliouandika kuna vichwa maji wataudandia kama ulivyo teh teh...
 
Hiviv mkuu atapata wasaa wa kutoa neno kwenye msiba was Mzee sita? Nawaza tu atasemaje
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
toa uzushi wenu. inaelekea kitengo cha misiformation cha ukawa kiko full throttle.
 
Badala ya kuwaongezea walio chini, eti walio juu wanapunguziwa ili 'tufanane'. Hii nchi tumerogwa kabisa
 
Hili la kukata mishahara ya wafanyakzi ni mbaya kabisa na impact yake itakuwa balaa kubwa.
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Wakatwe tu maana hakuna namna nyingine...hasa walimu wakatwe sana tu maana kila mwaka ndio wanaisaidia CCM kuiba kura.
 
Back
Top Bottom