Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

Waanze na mshahara wa Magufuli na mishahara yote ya Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu wa wizara na manaibu wao na Wakuu wa Wilaya. Waliobaki mishahara yao usiguswe.
Huo wa Magufuli hivi unajulikana?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watu wamekuwa wakilalamikia posho za kila namna halafu anatokea mtu anaenda kuzishughulikia wahamisha magoli watakuja na kauli mbiu nyingine...
Tena utasikia wanasema.. Wanasisitiza atengeneze mfumo(sheria)
 
$192,000* 2,183 (conversion rate ya leo huu ni mshahara wa mwaka) hataki mshahara wake tuujue pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake yangu April mwaka huu ili kuonyesha mshahara wake kwa mwezi ni 9.5 millioni kitu ambacho si cha kweli.

Huo wa Magufuli hivi unajulikana?
 
$192,000* 2,183 (conversion rate ya leo) hataki mshahara wake tuujue pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake yangu April mwaka huu ili kuonyesha mshahara wake kwa mwezi ni 9.5 millioni kitu ambacho si cha kweli.
Ndo maana kuna haja ya kutungwa sheria ya uwazi kuhusu malipo yote ya viongozi wa umma.

Watu hatuwezi tukawa tunakatwa kodi halafu tusijue hela zetu zinatumiwaje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
$192,000* 2,183 (conversion rate ya leo huu ni mshahara wa mwaka) hataki mshahara wake tuujue pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake yangu April mwaka huu ili kuonyesha mshahara wake kwa mwezi ni 9.5 millioni kitu ambacho si cha kweli.
So what ?
 
Shida ipo Mkuu wangu tena kubwa tu...kwa sisi tuonafanya Biashara za kununua na kuuza tayari tunaelekea kwenye kuishi kama mashetani...wala sio kuwa ni watu wa deal hapana ila Wateja hatuwaoni..

Na mkuu wangu hali ni mbaya kweli kweli mtaani ila kama wewe una uhafadhali mkuu huwezi kuliona hilo...Mwenye shibe hamjui Mwenye njaa Mkuu wangu..

Watu wanauza mpaka vtu Vya ndani mtaani....Bahati mbaya sana hata Wateja wa kuvinunua hawapo..

Mkuu mbona taarifa hii bado ni tetesi lakini una-comment kama ni comfirmed.Why don't you be patient.Inaonekana kuna chuki ya aina fulani hivi.Trend hii naiona in most of the comments.Kuna shida!
 
Kinachofanyika ni uhuni wa hali ya juu.

Ndo maana kuna haja ya kutungwa sheria ya uwazi kuhusu malipo yote ya viongozi wa umma.

Watu hatuwezi tukawa tunakatwa kodi halafu tusijue hela zetu zinatumiwaje.
 
Unazungumzia Theory wakati Practically ishaanza kufanya Kazi. Kuna DG wa Bank Moja ya Serikal namhifadh Jina alikuwa analipwa 27M lakin baada ya tangazo la salary kutozidi 15 M nae panga limempitia wakat huo tayar alikuwa na makato ya 9M per month Makato yamebaki vile vile kaishia kupata take home isiyofikia 2M. Siku hizi usiseme kitu Fulani hakiwezekan kwa ku refer Katiba au sheria Siku Hizi tunaendesha Nchi kwa Hekima , busara, utashi na Utayari na uthubutu wa JPM tu na si vinginevyo [emoji3]

Mkuu mbona taarifa hii bado ni tetesi lakini una-comment kama ni comfirmed.Why don't you be patient.Inaonekana kuna chuki ya aina fulani hivi.Trend hii naiona in most of the comments.Kuna shida!
 
Unazungumzia Theory wakati Practically ishaanza kufanya Kazi. Kuna DG wa Bank Moja ya Serikal namhifadh Jina alikuwa analipwa 27M lakin baada ya tangazo la salary kutozidi 15 M nae panga limempitia wakat huo tayar alikuwa na makato ya 9M per month Makato yamebaki vile vile kaishia kupata take home isiyofikia 2M. Siku hizi usiseme kitu Fulani hakiwezekan kwa ku refer Katiba au sheria Siku Hizi tunaendesha Nchi kwa Hekima , busara, utashi na Utayari na uthubutu wa JPM tu na si vinginevyo [emoji3]
Well said brother
 
Yaani huyu jamaa badala ya kukuza uchumi ili apate fedha za kutoa huduma kwz wananchi, anatafuta kutupunguzia mishahara ili apate pesa za kujenga mapaarapara? Kawaida mishahara huwa inaongezwa sio kupunguzwa! Mbona yeye mwenyewe hata kiasi analipwa na marupurupu yake hajawahi kuyaweka wazi?
Bila kujua akpunguza mishahara anapunguza na kodi zotokanazo na mishahara ya watumishi wa umma
 
Amejiandaa vema 2020? Anachotakiwa kujua kwamba tunajipanga vema kumsomesha yeye na chama chake 2020.
 
Back
Top Bottom