Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

acheni kuleta habari za udaku na kuwapa watu presha,Mshahara unapita kwa bajeti kuu,na bajeti kuu ni sheria kwa mwaka husika,sasa hakuna uwezekano wowote wa kupeleka muswada wa kutengua bajeti ya 2016/2017 ili mishahara iliopitishwa kwenye bajeti ishuke
Mishahara hua haishuki,vinashuka vyeo,Bavicha acheni jamba jamba za kitoto
KUPENDA SANA HUSABABISHA MTU KUWA CHONGO
 
hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Mh.Rais umetumia mamlaka gani kikatiba kufuta mikutano ya kisiasa by Pasco Mayalla
 
Hivi hii imekaaje...ni kwa waajiriwa wapya ama current nao wanakatwa?iko vipi kwa waliokopa?haki zao?kisheria imekaaje?wanaweza kuobject hili? Hamna vifungu kwenye mikataba yao inayoweza kuwalinda? Mana naona ni janga hili sio siri,..bora mtu akupandishie mshahara, kushushwa??tuko kwenye recession kwani?ama ni induced recession?
 
Mkuu mbona taarifa hii bado ni tetesi lakini una-comment kama ni comfirmed.Why don't you be patient.Inaonekana kuna chuki ya aina fulani hivi.Trend hii naiona in most of the comments.Kuna shida!
Mlishaambiwa mtashushwa chini muishi kama mashetani...Sijui hata mnachoshangaa nini tu??

Mukulu anatekeleza kauli yake kwa vitendo au bado hamjashtuka??
 
piga kazi baba magu!nchi ilifika pabaya!kuna wengne wanalazimisha wapewe pesa ya mkopo,hivi unaweza kumlazmisha mtu akukopee?BANA HAO BABA MPAKA AKILI IWAKAE SAWA!
 
Ngoja Nione Kama Kuna Watu Watashushwa Na Kuish maisha ya uswahili kama kule Tandale
 
hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Teh teh........hiyo ni kama sheria za kazi zitafuatwa......
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau

Utajuzwa pale utakapojua jinsi ya kuandika kichwa cha habari!!
 
Waanze na mshahara wa Magufuli na mishahara yote ya Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu wa wizara na manaibu wao na Wakuu wa Wilaya. Waliobaki mishahara yao usiguswe.

Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
 
hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo

Unazungumzia Theory wakati Practically ishaanza kufanya Kazi. Kuna DG wa Bank Moja ya Serikal namhifadh Jina alikuwa analipwa 27M lakin baada ya tangazo la salary kutozidi 15 M nae panga limempitia wakat huo tayar alikuwa na makato ya 9M per month Makato yamebaki vile vile kaishia kupata take home isiyofikia 2M. Siku hizi usiseme kitu Fulani hakiwezekan kwa ku refer Katiba au sheria Siku Hizi tunaendesha Nchi kwa Hekima , busara, utashi na Utayari na uthubutu wa JPM tu na si vinginevyo [emoji3]
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Kama haijawa taharifa rasmi ni bora tuachane nayo kwanza
 
Unaleta tetesi za 30% wakati ukweli ni kuwa wapo waliotumbuliwa 100%.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ma DJ Nchi hii ni wengi mno,hata CCM ni MaDJ so,kama mmegawa gas kwa Wachina na Sub Marine zinaisomba kwenda china nyie ni zaidi ya MaDJ,Kwahiyo ccm ni genge la wezi hai,uchumi mmue nyie then leo hii mnatumbua,that is smart Lie.
 
Ma DJ Nchi hii ni wengi mno,Haji ta CCM ni MaDJ so,kama mmegawa gas kwa Wachina na Sub Marine zinaisomba kwenda china nyie ni zaidi ya MaDJ,Kwahiyo ccm ni genge la wezi hai,uchumi mmue nyie then leo hii mnatumbua,that is smart Lie.

Na hiyo ndiyo unatetea tetesi ya baadhi ya wafanyakazi kupunguzuwa 30% ya mshahara wao?

Dah, aliyewaita nyumbu hajakosea.
 
Back
Top Bottom