Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurugenzi yupi huyo alishushwa kutoka mil 45 emu tuambie au unazungumuzia yule maama TICmkuu nimekuelewa, sasa wale wakurugenzi wa mil45 ambao mkuu kawashusha mpaka mil15 hii sheria haiwahusu?
Hapo chacha.. Pia amesahau mwaka huu hata annual increments haikuwepo. Lisemwalo lipo watu wajiandae tu kisaikolojiamkuu nimekuelewa, sasa wale wakurugenzi wa mil45 ambao mkuu kawashusha mpaka mil15 hii sheria haiwahusu?
Madeni yako hayahusiani na uendeshaji wa serikali...wakiamua wanaweza na huwez kataa
Mishahara ikupunguzwa ni gharama kubwa kwa serikali !Ni bora wapunguziwe na sisi tupate ajira ahsante Mh Juma
Utakuja kutupa mrejeshoyou know nothing Mr.keep dreaming! hamna mtu anaweza kupunguzwa mshara na haitakuja kutokea!
Ha ha subiri uone sasa. Jamaa hadanganyi ni ukweli mtupu.hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Mawazo ya kimaskini sana haya.Ni bora wapunguziwe na sisi tupate ajira ahsante Mh Juma
Hao waliotumbuliwa juzi wamerudishwa kazini na kulipwa 2.2 billionUnaleta tetesi za 30% wakati ukweli ni kuwa wapo waliotumbuliwa 100%.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hao waliotumbuliwa juzi wamerudishwa kazini na kulipwa 2.2 billion
[emoji23]haichekeshi ila imenilazimu kufurahi hali itakuwa ngumu balaatunabatizwa kwa moto this time