Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo asubuhi. Picha na Burhani Yakub
GnRQhb7WQAAeHrV.jpeg

GnRQhb6XEAAT-go.jpeg

GnRQhUiWMAAOqk4.jpeg

Chanzo: Mwananchi
 
Mkanganyiko huu

Na Katiba yenu inasema uhuru wa kuabudu uheshimiwe
 
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan.
Je wamekaidi maagizo ya Mtume au wako sahihi?
 
samahani hii ni eid El fitri au ni Eid mubarak?
 
Ni nchi nzima waswali leo ila idi yao haitambuliwi na waislam wengine wala serikali haiitambui idi hii ndio maana hakuna kiongozi wa serikali aliyealikwa kwenye baraza la idi yao, na idi hii haipo kwenye orodha ya sikukuku za umma/public holidays. Huenda hawa wakawa ni waislam wa ukweli kuliko wa BAKWATA
 
Back
Top Bottom