DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Je wamekaidi maagizo ya Mtume au wako sahihi?Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan.
msikiti gani hap[a,Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo asubuhi. Picha na Burhani Yakub
Chanzo: Mwananchi
Eid el Fitrsamahani hii ni eid El fitri au ni Eid mubarak?