Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Hapo unakosea.
Kama unaamini kuna Mungu na unaamini kuna dhambi, maana yake hupaswi kukaa kimya ikiwa unaona dhambi inafanyika. Automatically utakemea tu.
Lakini Yesu akamwambia," nifuate Waache wafu wazike wafu wao"
Mathayo 8:22
 
Wakatoliki ndio Wamiliki wa Ukristu Kiongozi.
 
Siyo jambo la kujivunia lakini wewe au mimi niaewalaani tuna usafi gani?
Kama katika kanisa katoliki unywaji wa 'gongo' ni halali hata kanisani, ni vipi wakatoliki wasijivunie hao waumini kunywa gongo kanisani au wasijivunie gazeti la mwananchi kuonyesha hilo?
 
Leta ukweli wako.
Kipi uongo?
Pombe kuruhusiwa ukatolikini?
Upagani wa kiitaliano ulioboreshwa na mapokeo ya ukristo wa kale kisha kuenezwa duniani chini ya mwamvuli wa kanisa?

Nenda kajifunze upya ukatoliki utakuja kukiri hayo hapa hapa JF

hovyo kabisa..wakishalewa wanasusia msiba wa waumini wenzao ambaoo hawajachangia jumuiya
Unywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
 
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hiyo ni sehemu ya ibada. Hata Arusha tulikua tuna kunywa, tuna abudu, kula na kusheherekea katikati ya mji na watu wote bila ubaguzi wa dini, wala kabila, jinsia , cheo, sura wala rangi, elimu , masikini au tajiri na bado tukabarikiwa sana.
 
Kama katika kanisa katoliki unywaji wa 'gongo' ni halali hata kanisani, ni vipi wakatoliki wasijuvunie hao waumini kunywa gongo kanisani au wasijivunie gazeti la mwananchi kuonyesha hilo?
Unanifanya nikuone hii issue umeichukulia so personal,unaposisitiza kwamba “wamekunywa pombe kanisani” unaijua mipaka ya Kanisa kati ya jengo la Kanisa na eneo la Kanisa?

Wewe ukiitizama hiyo video umeona hizo unazoita pombe wakinywea ndani ya jengo la Kanisa?
 
Uko sahihi. Niambie sasa dini ambayo haina hayo uliyosema katika Kanisa Moja Katoliki la Mitume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…