Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Lakini Yesu akamwambia," nifuate Waache wafu wazike wafu wao"Hapo unakosea.
Kama unaamini kuna Mungu na unaamini kuna dhambi, maana yake hupaswi kukaa kimya ikiwa unaona dhambi inafanyika. Automatically utakemea tu.
Mathayo 8:22